Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Ndo maana nakuelewesha sasa mkuu..hawa wakina wambura kwnz sio football analysts ilo la kwanza hlf la pili wewe navoona unajua tu kura zinaoigwa na izo pande 2 mzee izo kura kila kundi lina percentage zake na mwsh wa sik wataalam wa football ambao ni ma analysts wao pia wananafas yao kuchavua nan bora..kwhy usitake kufanya kwamba izo kura zinapigwa na nchi au waandishi wa hbr ndo zina impact kwnye matokeo 100%.again hujafungua hilo file wote waandishi wa habari na analyst wamekuwa included na kura zao zipo, Tanzania alivote wambura na kama sijakosea Nsajigwa aliharibu kura
View attachment 1861639
hichi kipande nimekieka angalia hapo sisi Tanzania watu wa mpira, south Africa, Spain etc vote zinaeleweka, ndugu zetu kwa mswati, tahiti, tajikistani wao wanajua tu Messi. hao ni waandishi btw.
na sio kwamba nasema hivi kama fan wa Ronaldo tu hata Ronaldo anazo tuzo ambazo hajastahili hasa ule msimu bayern wanabeba treble, Neur alistahili.
Kwanza me nakushangaa sana eti kbs na wewe umekaza mishipa unaona Messi mwaka huu hastaili...au unaleta masihara tu na unazi ndo maana unaongea umefumba macho kua stats huzioni au vipi au umeamua kubishana kurizisha nafs yako ipoze machungu kwa kua hauko tyr kuona Messi anakua na tuzo 7, cr7 anzo 5..polee mkuu najua inauma sana lkn ndo hakuna namna m1 hapo ni bora kuliko mwngne na iyo inajionesha dhairi..wewe jifariji tu hapa kwa mimi kukupa airtime kukusikilza pointless facts zako lkn come december your player atakua anawakirisha idadi ya tuzo zake mgongon.