The Undisputed Messi

The Undisputed Messi

again hujafungua hilo file wote waandishi wa habari na analyst wamekuwa included na kura zao zipo, Tanzania alivote wambura na kama sijakosea Nsajigwa aliharibu kura
View attachment 1861639
hichi kipande nimekieka angalia hapo sisi Tanzania watu wa mpira, south Africa, Spain etc vote zinaeleweka, ndugu zetu kwa mswati, tahiti, tajikistani wao wanajua tu Messi. hao ni waandishi btw.

na sio kwamba nasema hivi kama fan wa Ronaldo tu hata Ronaldo anazo tuzo ambazo hajastahili hasa ule msimu bayern wanabeba treble, Neur alistahili.
Ndo maana nakuelewesha sasa mkuu..hawa wakina wambura kwnz sio football analysts ilo la kwanza hlf la pili wewe navoona unajua tu kura zinaoigwa na izo pande 2 mzee izo kura kila kundi lina percentage zake na mwsh wa sik wataalam wa football ambao ni ma analysts wao pia wananafas yao kuchavua nan bora..kwhy usitake kufanya kwamba izo kura zinapigwa na nchi au waandishi wa hbr ndo zina impact kwnye matokeo 100%.

Kwanza me nakushangaa sana eti kbs na wewe umekaza mishipa unaona Messi mwaka huu hastaili...au unaleta masihara tu na unazi ndo maana unaongea umefumba macho kua stats huzioni au vipi au umeamua kubishana kurizisha nafs yako ipoze machungu kwa kua hauko tyr kuona Messi anakua na tuzo 7, cr7 anzo 5..polee mkuu najua inauma sana lkn ndo hakuna namna m1 hapo ni bora kuliko mwngne na iyo inajionesha dhairi..wewe jifariji tu hapa kwa mimi kukupa airtime kukusikilza pointless facts zako lkn come december your player atakua anawakirisha idadi ya tuzo zake mgongon.
 
timu gani? timu zote ndogo epl zinapanga kikosi cha pili Europa.
https%3A%2F%2Ffoxesofleicester.com%2Fwp-content%2Fuploads%2Fgetty-images%2F2017%2F07%2F1229927320-850x560.jpeg

hao ni leicester vs slavia prague juzi hapa, kikosi cha kwanza unawatafuta na tochi

bingwa wa Europa anapata 16m euros wakati timu inayoshuka daraja Epl inapata zaidi ya 80M euro, ndio maana huwezi kuta timu ndogo inakazania huko.
Ebu acha kuja na vitu virahis basi mkuu..mbn unanipa wkt mgumu sana kukuona wewe hata kama una idea ya mpr..Unafikir wao tu uwa ndo wanapanga mixture ya 1st choice X1 na 2nd one hata spain au ligi zngne kubwa katk early stages za mashindano wanafny ivo kwa sbb ya demands za ligi zao na kwa vile wanacheza thursday lkn angalia wakienda hatuza za robo au nusu au final kama utakuta iyo 2nd X1 hata mtu m1 kwa tochi kwa sbb wanataka ubingwa..usilete hoja nyepes kutetea mawazo yako wewe binafs.
 
Ndo maana nakuelewesha sasa mkuu..hawa wakina wambura kwnz sio football analysts ilo la kwanza hlf la pili wewe navoona unajua tu kura zinaoigwa na izo pande 2 mzee izo kura kila kundi lina percentage zake na mwsh wa sik wataalam wa football ambao ni ma analysts wao pia wananafas yao kuchavua nan bora..kwhy usitake kufanya kwamba izo kura zinapigwa na nchi au waandishi wa hbr ndo zina impact kwnye matokeo 100%.

Kwanza me nakushangaa sana eti kbs na wewe umekaza mishipa unaona Messi mwaka huu hastaili...au unaleta masihara tu na unazi ndo maana unaongea umefumba macho kua stats huzioni au vipi au umeamua kubishana kurizisha nafs yako ipoze machungu kwa kua hauko tyr kuona Messi anakua na tuzo 7, cr7 anzo 5..polee mkuu najua inauma sana lkn ndo hakuna namna m1 hapo ni bora kuliko mwngne na iyo inajionesha dhairi..wewe jifariji tu hapa kwa mimi kukupa airtime kukusikilza pointless facts zako lkn come december your player atakua anawakirisha idadi ya tuzo zake mgongon.
mkuu tuishie hapa comment yangu ya mwisho

fifa ndio wamemchagua Wambura apige kura, kama unahisi hafai malalamiko peleka fifa.

na kura hazina percentage bali points kila unayemchagua kwanza anapewa points tano, mwenye points nyingi ndio mshindi, suala la percentage ni la kimahesabu tu kupresent namba kwa uachache.

na kura zina impacts 100% do your homework.
 
Ebu acha kuja na vitu virahis basi mkuu..mbn unanipa wkt mgumu sana kukuona wewe hata kama una idea ya mpr..Unafikir wao tu uwa ndo wanapanga mixture ya 1st choice X1 na 2nd one hata spain au ligi zngne kubwa katk early stages za mashindano wanafny ivo kwa sbb ya demands za ligi zao na kwa vile wanacheza thursday lkn angalia wakienda hatuza za robo au nusu au final kama utakuta iyo 2nd X1 hata mtu m1 kwa tochi kwa sbb wanataka ubingwa..usilete hoja nyepes kutetea mawazo yako wewe binafs.
except hio ni mtoano na sio hatua ya mwanzo,
 
Hadi hivi sasa goal machine ni cr7 tu

Ukiachana na goals za penalty pengine cr7 tusingemuita goals machine
Ronaldo hamfikii Messi uwezo wa kufunga magoli.
Statistics zinaonesha
Ronaldo ana Mechi nyingi kuliko Messi lakini kamzidi magoli machache, anatumia Muda mwingi kufunga goli Na inabidi awe karibu Na goli...

Messi ana Mechi chache magoli mengi,anatumia mda mchache kufunga goli Na ana magoli mengi ya nje ya box kuliko Ronaldo.

Actually u'goal machine wa Ronaldo Ni kwenye penalty
 
mkuu tuishie hapa comment yangu ya mwisho

fifa ndio wamemchagua Wambura apige kura, kama unahisi hafai malalamiko peleka fifa.

na kura hazina percentage bali points kila unayemchagua kwanza anapewa points tano, mwenye points nyingi ndio mshindi, suala la percentage ni la kimahesabu tu kupresent namba kwa uachache.

na kura zina impacts 100% do your homework.
Kama mimi umesikia nimesema hafai..malalamiko gani nipeleke wap na kwa nn wkt ni anafaa kwa sbb ya category yake..usijifiche kwny hoja nyepes njoo na concrete numbers acha kuleta maneno ya vijiweni kwenye kahawa kutetea mambo ambayo huna nayo exposure...siwez kufanya homework yng kwa ki2 ambacho nakielewa vzr...wewe ndo fanya tafiti zako ujue kura zinapigwa na watu wengi wakiwemo wenye uelewa mkubwa na football kuliko wewe uliyekaa huku mwsh wa dunian ukileta mambo ya unazi wako na cr7..narudia tena heshima professional za watu usilete ujuaji kama kwenye mpr wenu huu wa kibongo wa simba na yanga kila mtu anakua kocha.

Messi anakua na ya 7..na There is nothing cr7 fans mnatafnya zaid ya kuumia roho tu hakuna namna..mnajua kbs mchezaj wenu maji ya jioni hawez kurud tena kua mchezaj bora zaid lbd Messi anaweza shinda tena ya 8....endeleen kujifariji ja hoja uchwara.

I REST MY CASE LADIES AND GENTLEMEN.
20210711_113204.jpg
 
Ronaldo hamfikii Messi uwezo wa kufunga magoli.
Statistics zinaonesha
Ronaldo ana Mechi nyingi kuliko Messi lakini kamzidi magoli machache, anatumia Muda mwingi kufunga goli Na inabidi awe karibu Na goli...

Messi ana Mechi chache magoli mengi,anatumia mda mchache kufunga goli Na ana magoli mengi ya nje ya box kuliko Ronaldo.

Actually u'goal machine wa Ronaldo Ni kwenye penalty
Wanajifanya numbers hawazioni we waache tu wabishane wanavoweza uzur mwenye akil timamu ya mpr anaona hawa wengne wanaleta hoja za vijiweni kwenye kahawa tu.
 
Ronaldo hamfikii Messi uwezo wa kufunga magoli.
Statistics zinaonesha
Ronaldo ana Mechi nyingi kuliko Messi lakini kamzidi magoli machache, anatumia Muda mwingi kufunga goli Na inabidi awe karibu Na goli...

Messi ana Mechi chache magoli mengi,anatumia mda mchache kufunga goli Na ana magoli mengi ya nje ya box kuliko Ronaldo.

Actually u'goal machine wa Ronaldo Ni kwenye penalty
Soma vizuri comment yangu ikiwezekana irudie mara 3 utaelewa nilimaanisha nini
 
Ndo nakuuliza sasa mbn Kwenye Europe team izo izo za spain zilikua zina dominate sio UCL wala UEL..au huo ubora wa ligiz ya England ni wa ligi yao tu wakijichanganya na wengne wanakua wa kawaida..maana spain imedominate Europe kwa mda had alivokuja liver na chelsea juzi..sasa ilikuaje wakt ligi ilikua bora sana ubora sio ww kua na washabik tu wengi au kupiga kelele kama team yao ya taifa walivo wapiga kelele na hawachukui ki2.
Mabingwa wanapimwa UCL na sio kwenye ligi zao
 
Mimi nimezungumzia magoal kua m1 hapo anamagoal yote ayo na hajacheza England point ni iyo tu rahis mbn

Nyie washabik wa Cr7 najua mtabishana mnavoweza lkn kuna baadhi yenu ambao wanaujua mpr na wanaweka unazi pemben wanajua deep down nan anajua mpr kuliko mwenzake na Ni #Messi angalia tu discussions zote kubwa na watu wanaojua mpr dunian wakiulizwa nan bora kat ya hao wanamtaja nan..na by the way achana na hao watu angalia numbers tu kati yao wawili.

Basi achana na namba angalia tuzo binafs kati yao wawili utapata majibu...yoyote dunian mwenye idea ya mpr anajua kbs Messi ni bora kuliko cr7 pa1 wote ni wachezaj wazr lkn haiondoi kua m1 ni bora kuliko mwngne...huyo mnaemuita goal machine ratio zinamkataa against Messi ndo mnatafuta kichaka ooh ligi nyepes mara team 1 mara nn.wewe ulitaka acheze team ngp sasa..wengne ni loyal kwnye team iliyomkuza na anafanya kila ki2 kufany team imekua kubwa kuliko..mwngne anahama kwenda ligi tofaut anaenda kwa mtu ambae amekua akishinda ubingwa wa ligi miaka yote hlf anasema anafata challenge mpy tena anafika anawapa na mkosi ndo wanakosa ligi yeye akiwepo.

Na ndo maana nasema tena sbrn December mchezaj wenu yab cr7 ndo atakua anabeba idadi ya tuzo za #Messi mgongon kwake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hatakaa akuelewe mkuu ila namba hazidanganyi na anajua ila UNAZI ndio unamsumbua
 
comment yako wewe haijajaa unazi? tatizo lenu nyie mnatumia emotion kujadili badala ya facts, ningekuwa mimi ni fan wa Messi yapo mambo mengi ambayo mengi anafanya vizuri, mfano anajua kudrible kuliko ronaldo, ila ukitumia data za Magoli haswa muhimu kuna Gape kubwa sana baina ya Ronaldo na messi mkuu.

muda si mrefu nilikuwa reddit watu wanadiscuss hichi hichi tunachodiscuss humu, uzi ulikuwa na timeframe ya peak ronaldo toka 2011 mpaka 2018, wakatoa na mfano huo wa magoli ya Robo hadi fainali baina ya huo muda
-Cristiano Ronaldo - 30
-Robert Lewandowski - 10
-Karim Benzema - 8
-Thomas Muller - 8
-Neymar - 7
-Sergio Ramos - 5
-Lionel Messi - 5
-Luis Suarez - 5

Messi ana goli 100 mkuu Hatua za mwanzo makundi na 16 ila miaka 7 hio inapita ana goli 5 tu kwenye Hatua muhimu amefungana na Ramos, at same time Ronaldo ana goli 30.
unaweza soma zaidi hapa
Mbona unakazania "hatua muhimu" badala ya end results??? Hapa inaonekana una shida sehemu
 
Hoja zako izo zote za anajua kudribble zimo ndan ya anajua mpr sihitaj kuongea vi2 ambavyo m2 anajulikana kbs anavijua.ndo maana anaenda beba tuzo ya 7 mchezaj bora mwenzake akiwa na tano..ndo maana anaviatu vya ufangaji bora mara 6 mwenzake ana vi4 ndo maana anamchezaj bora wa mshindano ya kimataifa mara 4 mwenzake hana hata 1..kwhy kama ww huoni ilo unahitaj mm nikwambie lbd usbr december tuzo ya 7 itakwambia vzr sina haja ya kubishana kwa hoja nyng wkt m2 anaejua mpr anajua nan bora kuliko mwenzake..unaweza kubisha unavotak ww lkn..nimekupa summary ya ballom d'or amabyo ndo criteria ya mchezaj bora wa dunia #Messi anaenda kua nazo 7 mwenzake 5..nimekupa summary ya Golden Boot ambayo ndo mfungaji bora nyie mnasema cr7 ndo goal machine lkn#Messi ndo anaongoza viatu anavo 6 mwenzke 5..nimeenda katk international stage wote wanafanikio ya kombe wamebeba lkn kuna mwngne kacheza final 5(Copa america 4 na world cup 1) kawa mchezaj bora wa michuano mara 3 out of izo mara 5 ya michuano iyo huku mwenzake hajawah hata mara 1 kua mchezaj bora katk international stage...unaweza sema nimesahau Golden boot katk international stage Cr7 ndo anayo 1 kabeba juzi juzi hapa wkt Messi kabeba mara 3..kwhy nimekupa summary fup sana kwa kua vingi hata ww unaweza nenda tafuta google uone mwngne kacheza mechi zaid ya 150 lkn kazidiwa ratio ya ufungaj kwa idadi ya Mechi na huyo ndo goal machine wenu.

Picha izo hapo chini unaweza pitia kwa uelewa zaidi mkuu. View attachment 1861621View attachment 1861623View attachment 1861622View attachment 1861624
[emoji1756][emoji1756][emoji1756] pamoja sana mkuu
 
kuna Ligi yenye Marketing kushinda ya Marekani? vilabu vya MLS sasa hivi average thamani yake ni dola milioni 550, for comparison timu ndogo ndogo za Epl kama crystal palace wana thamani pound milioni 225 tu, kama ingekua mpira ni marketing sasa hivi wote tungekuwa tunaangalia ligi ya marekani.

again comment sijui ya ngapi narudia kuandika tofautisha ubora wa ligi na timu. hebu twende taratibu tuchukue mfano wa darasa una madarasa mawili
-Darasa A wanafunzi 20 kuna wanafunzi wawili vichwa wanapata division 1 wawili division 2 wawili div 3 na waliobakia 14 wana div 4 na zero
-Darasa B wanafunzi 20 pia ila wote wana div 2 na 3 tu hakuna div 4 ama zero
unahisi lipi ni darasa bora?

na Europa miaka na miaka timu za ligi ya uingereza hazina time nayo, timu za spain zinakomaa sababu Madrid na Barca wanachukua hela zote za tv inabidi watafute source nyengine. ila toka waanze kusema mshindi wa Europa anaingia champions league Timu ya Epl ambayo ipo top 4 na inahitaji nafasi basi inabeba (ukimtoa Arsenal) mfano Man u kabeba 2017 wakati mou alipomaliza nafasi ya 6 na chelsea kabeba pia nafkiri 2018.
Mkuu nani anashabikia ligi ya US labda kikapu tu na American football na sio SOCCER
 
Hlf unajua nilikua najua naongea na m2 hata kdg ana idea anachoongea lkn naanza kupata mashak khs knowledge yako na football..yan unasema kbs bila hata mshipa wa aibu kua wakimnyima Lewandowski mwaka huu utashangaa..utashangaa kwa kipi alichofanya lewa ushangae akikosa tuzo.

Naungana na wewe kwnye hoja yako kua mwaka hana Lewa alistaili 100% kbs apewe tuzo na nilishangaa sana kuona French football wanacancel izo events lkn wao walidai Corona..lkn mwaka jana nfo Lewa alikua anadeserve kbs asimilia zote na haikua haki kutopewa na sikupenda hata kdg.

Lkn kuja na hoja yako mfu ambayo haina hata stats kuback up unachoongea ni swa na kujidharirisha mwnyw kwa sbb unaongea ki2 anastaili..unafikir wanagawa tuzo tu kua anastaili kwa maneno..wanaangalia numbers zinakubeba vipi sio wanakupa tu kwa huruma kua kwa vile huyu akupewa mwaka jana basi tufanye replacement apewe mwaka huu wkt numbers haziko upande wake..narudia tena jaribu kuheshim professional za watu..wewe huko huku mwsh wa dunia unasema eti tuzo wanagawa kwa popularity tu hawaangalii ubora utakya uko serious kweli wkt watu wanapiga kura wanaona fulan according to numbers zake individually anastaili sio maneno tu kua apewe kwa huruma.

Nyie ndo wale mnadhan kua kwa vile Jorginho kabeba makombe tu wawili ya uefa bas na yy apewe tuzo kwa kua mbeba makombe bora..hawatoi tuzo kama karanga wanaangalia na indivudual ulikua na impact gn sio wewe ulikua unapitia tu kwenye upepo wa team bas wakupe tuzo.
Mkuu kuna fununu mwaka huu zikatoka mbili ya Lewa na [emoji238][emoji238] Leo
 
Kama mimi umesikia nimesema hafai..malalamiko gani nipeleke wap na kwa nn wkt ni anafaa kwa sbb ya category yake..usijifiche kwny hoja nyepes njoo na concrete numbers acha kuleta maneno ya vijiweni kwenye kahawa kutetea mambo ambayo huna nayo exposure...siwez kufanya homework yng kwa ki2 ambacho nakielewa vzr...wewe ndo fanya tafiti zako ujue kura zinapigwa na watu wengi wakiwemo wenye uelewa mkubwa na football kuliko wewe uliyekaa huku mwsh wa dunian ukileta mambo ya unazi wako na cr7..narudia tena heshima professional za watu usilete ujuaji kama kwenye mpr wenu huu wa kibongo wa simba na yanga kila mtu anakua kocha.

Messi anakua na ya 7..na There is nothing cr7 fans mnatafnya zaid ya kuumia roho tu hakuna namna..mnajua kbs mchezaj wenu maji ya jioni hawez kurud tena kua mchezaj bora zaid lbd Messi anaweza shinda tena ya 8....endeleen kujifariji ja hoja uchwara.

I REST MY CASE LADIES AND GENTLEMEN.
View attachment 1861820
Yani mimi nilieleta data kabisa Kura nzima zilivyopigwa sijaleta namba? Ila wewe unaeandika comment karibia ya 20 bila ya proof wala source yoyote Bali maneno tu ya mdomoni na tweet zilizobase kwenye emoticon ndio una concrete number?
 
Ivi unaongea haya uko serious kbs unasema team za england hazina time na europa yan unaongea kbs serious ?..ivi wangekua hawana time man u angeweka kikosi cha kwnz kwnye Europa wabebe kombe wakafungwa..yan unaongea kbs bila hata kujishtukia unasema hawana time nao..lbd wewe ambae haujui thaman ya kombe ndo hauna time nayo sio wenzako ambao wanajua thaman yake wewe unaongea ukiwa huku unashabikia tu unasema hawana time nayo wkt ni moja ya kombe kubwa kbs ulaya.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna kipind wkt mchezaj wenu alikua anaongoza kwa kuchukua golden boot wkt huo alichuku golden boot ya 4 huku #Messi alikua na 1..akakaririwa akisema kua..kushinda golden boot ndo ki2 cha maana zaid kuliko ballon d'or kwa sbb ndo inaonesha ubora..lkn saiv Messi anazo 6 yy kabaki na izo 4 na wala hasemi tena khs Golden boot napo huko kapigwa bao..ballon d'or napo kapigwa bao..international stage napo kapigwa bao..sasa washabik wake mnatapa tapa tu kama wafia maji hamjui hata mnaongea nini mnakuja na hoja zenu za kuunga unga tu.
[emoji1756][emoji1756][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom