The Undisputed Messi

The Undisputed Messi

Hatutaki mashoga
Ninachokiona ligi ya spain ina uwiano mbovu sana kati ya timu kubwa na timu ndogo.....

Tumuombe messi akajaribu soka kwengine.... tangu ana miaka 13 mpaka umri huo yupo kwenye club hiyo hiyo.... barca ni messi na messi ni barca.... ana kipaji kikubwa sana, lakini mfumo wa barca unamnufaisha pia.

Kitu kimoja kwa ronaldo ambacho ni kikubwa sana kuweza kukabiliana na mikimiki ya huyu messi... bila ronaldo messi angekuwa ametamba kwa miaka 10 bila upinzani.... Neymar, Hazard wamefeli kuwa kwenye kiwango cha hawa jamaa.... mpira sio tennis kwamba utashindanisha wachezaji kwa kigezo cha one on one.....

Kutokana na aina ya uchezaji wa barca Ronaldo angelichezea timu hiyo angefanikiwa zaidi kuliko sehemu zote alizopita.... kucheza na akina oshea sio jambo rahisi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
King Messi
Messi.jpeg
 
Unataka atoke barca aende lipuli!! Akili za watanzania bwana
 
Kama unatumia free kicks kama kigezo sio mbaya uka include his statics
-penalty
-magoli ya vichwa
-magoli nje ya 18.

Kama una include magoli ya fainali pia sio mbaya uka include hizi stats
-fainali ngumu kama uefa na world cup
-knockout stage kama za uefa, Michuano ya mabara na world cup

Pia usisahau kuweka na makombe na mafanikio ya timu ya taifa.

Ronaldo anaweza kuwa ni mzuri lakini vigoo wa soka duniani hawampendi kwa sababu ya tabia yake...ni mkorofi, ana majivuno na nyodo, misifa na kadhalika, kwa starehe kama mabibi ndiye mwenyewe..kwa ujumla viongozi wa soka duniani wanamuona Ronaldo siyo Role model mzuri wa soka...Messi ana nyota ya kupendwa na vigogo wa soka duniani kutokana na tabia yake ya upole, ukimya kutokuwa na majivuni..kasoro yake pekee ni kuwa hana mafanikio na timu ya taifa...lakini kwa vigezo vya utandazaji wa soka kwangu mimi Messi yuko juu ya Ronaldo....
 
Mijitu mingine bwana Eti "ili tujuwe bora aende akacheze ligi ingine" wewe kama nani unasema hivyo!!!!!!! haya ni maneno ya mkosaji, hayana maana yeyote....wivu unawasumbua nyie viumbe
...

King Lionel Messi against English teams in the Champions League: 22 goals, 6 assists. More than teams from any other country.....

EINSTEIN112 Ebu wawekee na records zake alivyozinyanyasa tim za uingereza...
 
Top 7 players with most trophies in Europe
#7. Gerard Pique – 30 trophies
#6. Zlatan Ibrahimovic – 31 trophies
#5. Maxwell – 32 trophies
#4. Andres Iniesta – 32 trophies
#3. Lionel Messi – 33 trophies
#2. Dani Alves – 34 trophies
#1. Ryan Giggs – 35 trophies

NITAFUTIENI RONALDO😉😉😉

Messi anaenda kuvunja hii record very soon coz ana muda mrefu wa kucheza
 
Back
Top Bottom