PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,353
Hatutaki mashoga
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninachokiona ligi ya spain ina uwiano mbovu sana kati ya timu kubwa na timu ndogo.....
Tumuombe messi akajaribu soka kwengine.... tangu ana miaka 13 mpaka umri huo yupo kwenye club hiyo hiyo.... barca ni messi na messi ni barca.... ana kipaji kikubwa sana, lakini mfumo wa barca unamnufaisha pia.
Kitu kimoja kwa ronaldo ambacho ni kikubwa sana kuweza kukabiliana na mikimiki ya huyu messi... bila ronaldo messi angekuwa ametamba kwa miaka 10 bila upinzani.... Neymar, Hazard wamefeli kuwa kwenye kiwango cha hawa jamaa.... mpira sio tennis kwamba utashindanisha wachezaji kwa kigezo cha one on one.....
Kutokana na aina ya uchezaji wa barca Ronaldo angelichezea timu hiyo angefanikiwa zaidi kuliko sehemu zote alizopita.... kucheza na akina oshea sio jambo rahisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app