Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Ronaldinho ameshastafu mbonaKwasababu hatujua ila unaongea pumba sana mkuu
Age ya mbape na uwezo wake ni thamani kubwa sana
Yan kwa akili zako unafikiri ronaldinho ana thamani kubwa kuliko lukaku
Sent using Jamii Forums mobile app
Ko kwa mantiki hiyo benzema ni Bora kuliko Messi si ndio?UEFA ameichukua Madrid plus nguvu ya teammates wote sio cr7
Hakuwepo cr7 peke yake uwanjani
Basi ata benzema na yeye kabeba izo UEFA 3
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kama Ronaldo mnyama anayebisha na. MBLOCKmkuu wewe naona huna akili kabisa akafanye nini uko na ndo maana ronaldo alipokuwa anataka aongezew dau real madrid za kunyapia nyapia aljibiwa ivi KAMA VIPI SEPA UNATAKA ULIPWE KAMA MESSI
Ndo mana nikasema KAMA MESSI HAMESHINDWA KUCHUKUA U.E.F.A 3 MFULULIZO,BASI RONALDO NI HAMSHA POPO.that true,,,,,,
https://www.washingtonpost.com/news...-scores/?noredirect=on&utm_term=.0b556e511037Kwa wasiojua kufikiri yes ila kwa wanaojua kufikiri.
1. Ronaldo hana Tattoo sijui kama awe amechora sasa hivi niwe sifahamu.
2. Wa kwanza kufika mazoezini na wa mwisho kuondoka. Hii imeripotiwa na watu mbalimbali toka sporting lisbon, Man united, madrid na juve.
-at sporting
https://www.goal.com/en/news/ronald...-at-sporting-after/12s262l50c82v1rtfas3r4xbmz
-At man united
Tevez anasema hajawahi kuwahi kabla ya ronaldo mazoezini kuna kipindi mazoezi saa 3 asubuhi akawahi saa 1 na nusu asubuhi akamkuta, next time akasema ngoja awahi zaidi akaja 12 asubuhi akamkuta. Unafikiri mkuu huyu ni mtu wa starehe kama unavyoaminishwa?
Carlos Tevez opens up on Lionel Messi and Cristiano Ronaldo's training ground routines | Daily Mail Online
-At madrid miguel Torres "CR9 first to arrive last to leave Training
https://www.goal.com/en/news/12/spa...raises-cristiano-ronaldos-performance-in-real
-At juve Ronaldo anaelekea kuwa babu la Gazzeta dello sport linareport same thing wa kwanza kufika mazoezini na wa mwisho kuondoka.
The typical day of Ronaldo: First to arrive, last to leave | Calciomercato.com
3. Mchezaji mwenye fat ndogo sana, just asilimia 7 akiwa katika age ya 33 hii ilijulikana wakati anapimwa afya na juve. Ni physique ya 20 yrs old boy.
Cristiano Ronaldo has the physical attributes of a 20-year-old | Daily Mail Online
4. Mlo wake. Evra anakuambia Ronaldo akikualika kula usiende utakuta tu mbogamboga huko
Evra: If Ronaldo invites you over for lunch, don't go
5. Mtu mzuri na mwenye Huruma.
Tumeona jamaa time to time akitoa utajiri wake kusaidia watu wasiojiweza, sio tu visenti baadhi ya mambo ya Ronaldo aliyofanya.
-point namba moja nimesema Ronaldo hana Tattoo, unajua sababu? Jamaa anasaidia sana damu yake kwa wahitaji, imagine na utajiri wake na anavyojali afya yake na kuwa katika peak ila still halimsaidii kusaidia waonaohitaji kwa kutoa damu.
-Espn wamereport Ronaldo kuna kombe lake moja ameliuza na kuraise Euro laki 6 (kama bilioni 2 za kitanzania) na kutoa sadaka kwa wasiojiweza
-mwaka 2015 amekuwa listed kama mwanamichezo anayetoa sadaka zaidi (sio mpira tu wanamichezo wote)
-mwaka 2015 Nepal ilipopata Earthquake ronaldo alichangia dola milioni 5 (zaidi ya bilioni 10 za madafu) na huo ni zaidi ya msahara wake wa mwezi.
-1.5m kujenga shule mbalimbali Gaza palestine
-kusaidia vitu vya watoto yatima syria
-165k kujenga kituo cha cancer
-kuna mtoto alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa ubongo wakamuomba atoe jezi na viatu jamaa akavitoa na akagharamia matibabu yote.
Vyote hivyo ukitaka source taja kimoja nitakutajia.
Na charity nyingi sio yeye anaesema amezitoa bali zinavuja au wafaidika wenyewe wanasema. Hujui anavyofanya kwa siri.
Mkuu kwa hizo quality unaamza vipi kumchukia? Na hao vigogo wa soka ndio hawa wanaoforge kura za baloon d or na kujiaibisha kila siku?
Kwangu mimi ronaldo ni role model wa kila mchezaji na binadamu wa kuigwa.
Kwa wasiojua kufikiri yes ila kwa wanaojua kufikiri.

Hakuna kama Ronaldo mnyama anayebisha na. MBLOCK
~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
WE MATAKO KWELI, TIMU NZIMA IMECHUKUA MARA 3 SIO RONALDONa ajawahi kutokea mchezaji na atatokea kuchukua U.E.F.A tatu mfululizo eboooh
~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
ACHANA NA HILO BOYAKwasababu hatujua ila unaongea pumba sana mkuu
Age ya mbape na uwezo wake ni thamani kubwa sana
Yan kwa akili zako unafikiri ronaldinho ana thamani kubwa kuliko lukaku
Sent using Jamii Forums mobile app
HUJAELEWEKA MKUU WE WEKA TAKWIMU ZAKOCha ajabu mtoa anaonekana yuko biased from the beginning Hahaaa
Cha kumuuliza ni kwamba, mara ngapi Messi kazifunga hizo timu za huko kwenye ligi zingine? kama hajawahi kuwafunga hata mara moja ni sawa
πππππHakuna kama Ronaldo mnyama anayebisha na. MBLOCK
~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
Ishu ya kubaka vipi??Kwa wasiojua kufikiri yes ila kwa wanaojua kufikiri.
1. Ronaldo hana Tattoo sijui kama awe amechora sasa hivi niwe sifahamu.
2. Wa kwanza kufika mazoezini na wa mwisho kuondoka. Hii imeripotiwa na watu mbalimbali toka sporting lisbon, Man united, madrid na juve.
-at sporting
https://www.goal.com/en/news/ronald...-at-sporting-after/12s262l50c82v1rtfas3r4xbmz
-At man united
Tevez anasema hajawahi kuwahi kabla ya ronaldo mazoezini kuna kipindi mazoezi saa 3 asubuhi akawahi saa 1 na nusu asubuhi akamkuta, next time akasema ngoja awahi zaidi akaja 12 asubuhi akamkuta. Unafikiri mkuu huyu ni mtu wa starehe kama unavyoaminishwa?
Carlos Tevez opens up on Lionel Messi and Cristiano Ronaldo's training ground routines | Daily Mail Online
-At madrid miguel Torres "CR9 first to arrive last to leave Training
https://www.goal.com/en/news/12/spa...raises-cristiano-ronaldos-performance-in-real
-At juve Ronaldo anaelekea kuwa babu la Gazzeta dello sport linareport same thing wa kwanza kufika mazoezini na wa mwisho kuondoka.
The typical day of Ronaldo: First to arrive, last to leave | Calciomercato.com
3. Mchezaji mwenye fat ndogo sana, just asilimia 7 akiwa katika age ya 33 hii ilijulikana wakati anapimwa afya na juve. Ni physique ya 20 yrs old boy.
Cristiano Ronaldo has the physical attributes of a 20-year-old | Daily Mail Online
4. Mlo wake. Evra anakuambia Ronaldo akikualika kula usiende utakuta tu mbogamboga huko
Evra: If Ronaldo invites you over for lunch, don't go
5. Mtu mzuri na mwenye Huruma.
Tumeona jamaa time to time akitoa utajiri wake kusaidia watu wasiojiweza, sio tu visenti baadhi ya mambo ya Ronaldo aliyofanya.
-point namba moja nimesema Ronaldo hana Tattoo, unajua sababu? Jamaa anasaidia sana damu yake kwa wahitaji, imagine na utajiri wake na anavyojali afya yake na kuwa katika peak ila still halimsaidii kusaidia waonaohitaji kwa kutoa damu.
-Espn wamereport Ronaldo kuna kombe lake moja ameliuza na kuraise Euro laki 6 (kama bilioni 2 za kitanzania) na kutoa sadaka kwa wasiojiweza
-mwaka 2015 amekuwa listed kama mwanamichezo anayetoa sadaka zaidi (sio mpira tu wanamichezo wote)
-mwaka 2015 Nepal ilipopata Earthquake ronaldo alichangia dola milioni 5 (zaidi ya bilioni 10 za madafu) na huo ni zaidi ya msahara wake wa mwezi.
-1.5m kujenga shule mbalimbali Gaza palestine
-kusaidia vitu vya watoto yatima syria
-165k kujenga kituo cha cancer
-kuna mtoto alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa ubongo wakamuomba atoe jezi na viatu jamaa akavitoa na akagharamia matibabu yote.
Vyote hivyo ukitaka source taja kimoja nitakutajia.
Na charity nyingi sio yeye anaesema amezitoa bali zinavuja au wafaidika wenyewe wanasema. Hujui anavyofanya kwa siri.
Mkuu kwa hizo quality unaamza vipi kumchukia? Na hao vigogo wa soka ndio hawa wanaoforge kura za baloon d or na kujiaibisha kila siku?
Kwangu mimi ronaldo ni role model wa kila mchezaji na binadamu wa kuigwa.
Ronaldo sio kwamba hakuwa na kipaji kipindi cha mwanzo man u alikuwa akipigisha watu misamba sana tu,
Ila amejijenga kuwa perfect machine kuna vitu anafanya watu wachache duniani wanaweza.
Mfano kuruka juu zaidi na kupiga mipira ya vichwa
Fainali uefa 2008
Robo fainali na man u
Ronaldo anaruka juu zaidi ya average players wa NBA watu ambao maisha yao yote wanaruka ruka tu.
So Ronaldo ni mchanganyiko wa kipaji, mazoezi na njaa ya mafanikio ndio maana anamaliza career yake akimshinda messi ambaye mara kwa mara amekuwa akitembea uwanjani.
Na fainali za Euro Portugali walivyochukua ubingwa zinaonesha kabisa jinsi hardwork inavyoshinda vipaji.
πππππHujawahi kuona benzima alifunga Ronaldo kwa wivu,akaonyoosha mkono kuwa ni offside na ni team mate wake
Sent using Jamii Forums mobile app