The Undisputed Messi


Huu ukweli mtupu mkuu Ronaldo ni Goal Machine lakini Messi ni Complete player ni play maker wa timu anashuka chini kupandisha timu na mambo mengine mengi yeye Ronaldo anachofanya ni kufunga magoli na yuko vizuri kwenye kufunga
 
Mkuu Katika top level je? Messi ni nuksi kwa timu ndogo ila ikija at top top level siku zote haonekani.

pasi za magoli champions league
Kwenye copa de la rey sijui wakikutana na betis messi atawatandika magoli na assist mpaka wakome ila ikija kwenye top top level messi sio bora zaidi.

Hawa ndio watoa pasi za magoli bora champions league.


Unaona hapo Messi hajamfikia Hata Giggs na ameachwa mbali na Ronaldo, hio ni Uefa sio copa de la rey ama getafe,ni mahala wanaume wanapokutana, hata kwa pasi za magoli messi hamuwezi Ronaldo at top level.

Ukija kwenye magoli champions league kwenye makundi messi ni Nuksi



Ukitoka kwenye makundi hatua inayofuata pia Messi ni balaa round 16 mtoano, eneo lao la kuwapiga Arsenal.



Ukianza kuja robo fainali Andunje pumzi inakata maeneo yake ya kupotea hayo.



Imagine mkuu utofauti wa magoli 23 against 10 hapo ndipo unapoona mchezaji anaye step up kwenye mechi kubwa na specialist wa kuzifunga timu ndogo. Robo fainali hakuna timu ndogo na magoli ya messi kidogo.

Twende Nusu sasa ambapo timu zinazidi kuwa ngumu.

Hapo unaona jinsi Ronaldo alivyo bora nusu fainali na Messi anazidi kudrop amepitwa na watu kibao nusu fainali.

Tumalizie na fainali sasa.

Umeona na fainali Tena Ronaldo ni mbaya zaidi anatupia zaidi.

So mkuu nikuulize swali.

Mchezaji mkali hatua ya makundi na mchezaji mkali wa robo, nusu na fainali yupi bora?

Mchezaji mkali wa kutoa pasi za magoli makombe ya kugombania pipi, na mchezaji mkali wa kutoa pasi za.magoli makombe makubwa kama Uefa yupi mkali?

Na sio Uefa tu, hata world cup Messi magoli yake ni hatua za makundi tu, ikifika tu round ya mtoano anapotea kama sio yeye, tumeona fainali na ujerumani ile utafikiri alikuwa anashindana mashindano ya kutembea kwa hiyari kuchangia watoto yatima.

Wakati Ronaldo tumemuona na Portugal hatua zote za mtoano Euro jamaa amesaidia kila goli limetoka kwake. Mechi 6 alizocheza goli 3 na assist 3 average kila mechi ana contribution ya goli 1.
 

Ronaldo amemzidi Messi michezo mingapi ukitaka kujua huyu Ronaldo hamuwezi Messi wakutane against ndiyo utaona jinsi Ronaldo anavyomchekigi Messi kwa kumtamani
 
Ronaldo amemzidi Messi michezo mingapi ukitaka kujua huyu Ronaldo hamuwezi Messi wakutane against ndiyo utaona jinsi Ronaldo anavyomchekigi Messi kwa kumtamani
Mkuu wakikutana wanacheza wachezaji wawili? Hivi madrid akikutana na barcelona pepe akala red inamaana Messi ni bora kuliko Ronaldo? Hakuna hoja yoyote kwamba timu zikikutana inayoshinda badi mchezaji wa Timu alioshinda ndio bora, na sijawahi ona watu wakitoa tuzo kwa style hio.

Mchezaji bora anaangaliwa kwa kuisaidia timu yake kuchukua vikombe na kuipatia mafanikio mbalimbali.

Kama messi ana flop robo, nusu na fainali hata barcelona amfunge madrid/juve mara trilioni 1 it wont change a fact.

Na kutocheza mechi nyingi za robo, nusu na fainali pia tunaweza sema ni weakness maana haufuzu sana huko japo umezungukwa na wachezaji bora pale barcelona.

Hebu tuangalie Appearence za robo fainali.



Tunaona wote Ronaldo na Messi wameshiriki mara 20 kwenye robo fainali.

Halafu tuangalie na Magoli.



Hivyo unaona katika mechi 20 za robo ronaldo ana goli 23 na katika mechi 20 za Robo Messi ana Goli 10 tu. Huo ndio utofauti wao mkuu katika top level.

Na nikukumbushe tu katika hizo goli 10, goli 4 aliwafunga arsenal, ile anapiga one two na silvester. Hivyo ukitoa hio mechi still hali ni mbaya maana mechi 19 goli 6 tu.
 
Sijui unaongekea udogo upi mkuu. Messi ndie mchezaji mwenye magoli mengi El classico ameshaifunga Madrid hatrick mbili kama unataka kutuambia kwa madrid ni timu ndogo. Ameshaifunga Brazil hatrick Brazil sio timu ndogo. Ukienda kwenye dakika alizocheza uefa vs magoli aliyifunga messi ana uwiano mzuri kuliko cr7. Kipengele cha ufungaji wa magoli wanachana vikali, lakini tukija kwenye ukokotoaji wa mpira cr7 haonekani kwenye tatu bora, kwenye kutengeneza magoli hatumuoni kwenye tatu bora. Mess anaonekana mara zote akisumbua timu pinzani kuanzia katikati ya uwanja mpaka kwenye penalt box Wakati cr7 yeye ni kwenye penalt box tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ongezea na ligi pamoja na copa de ley za msimu huu 2018/19

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WE MATAKO KWELI, TIMU NZIMA IMECHUKUA MARA 3 SIO RONALDO
Mimi naongelea engine ya kufanikisha hayo yote,wewe kitumbua double matako eboooh

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
 
Ahaaaaaaaaah ko umetunga ili watu wakuamini Nini.NEVER AND WILL NEVER BE LIKE RONALDO IN WORLD HISTORY OF FOOTBALL FOREVERMORE.

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
 
Huu ukweli mtupu mkuu Ronaldo ni Goal Machine lakini Messi ni Complete player ni play maker wa timu anashuka chini kupandisha timu na mambo mengine mengi yeye Ronaldo anachofanya ni kufunga magoli na yuko vizuri kwenye kufunga
Unajua maana ya goal machine,uwezi kuwa goals machine Bila kuwa complete player,ila unaweza kuwa complete player Bila kuwa goal machine ko Ronaldo ni namba nyingine mkuu

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…