Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Issue ya kubaka amehukumiwa? Na yote hayo yameanza baada ya kumkimbia Perez.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Issue ya kubaka amehukumiwa? Na yote hayo yameanza baada ya kumkimbia Perez.
Hakuna kama Ronaldo mnyama anayebisha na. MBLOCK
~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
Hizo picha hapo chini ni za msimu ulioisha(2017/2018) katika ligi nne kubwa Ulaya katika takwimu za aliyeongoza kwa kukokotoa, kutengeneza nafasi za mabao, kutoa pasi za mwisho na ufungaji wa magoli. La liga maeneo yote manne yalitawaliwa na messi. Wanaosema Messi ni bora kuliko Ronaldo wanaangalia uwezo alionao katika kutengeneza magoli(katika tatu bora ya wanaotengeneza magoli ulaya messi hakosi hapa washindani wake ni akina James Rodrigues, De brune na sio ronaldo), uwezo alio nao katika kutoa pasi za mwisho(katika tatu bora ya wanaotoa pasi za mwisho ulaya messi hakosi hapa washindani wake ni akina Kelvin de brune na sio ronaldo ), uwezo alio nao katika kukokotoa mpira(katika tatu bora ya wakokotoaji wa mpira ulaya messi hakosi hapa washindani wake ni akina hazadi na neymar na sio ronaldo), uwezo alionao katika kufunga magoli(katika tatu bora ya wafungaji wa magoli ulaya messi hakosi hapa ndipo anaposhindana na ronaldo).
Ronaldo na Messi ni wachezaji bora sana na wameonyesha uwezo mkubwa na rekodi kubwa katika ufungaji wa magoli lakini messi ana vitu vingine vya ziada(kukokotoa mpira, kutengeneza magoli, kutoa pasi za mwisho) ambavyo amevitawala.
Mkuu Katika top level je? Messi ni nuksi kwa timu ndogo ila ikija at top top level siku zote haonekani.Hizo picha hapo chini ni za msimu ulioisha(2017/2018) katika ligi nne kubwa Ulaya katika takwimu za aliyeongoza kwa kukokotoa, kutengeneza nafasi za mabao, kutoa pasi za mwisho na ufungaji wa magoli. La liga maeneo yote manne yalitawaliwa na messi. Wanaosema Messi ni bora kuliko Ronaldo wanaangalia uwezo alionao katika kutengeneza magoli(katika tatu bora ya wanaotengeneza magoli ulaya messi hakosi hapa washindani wake ni akina James Rodrigues, De brune na sio ronaldo), uwezo alio nao katika kutoa pasi za mwisho(katika tatu bora ya wanaotoa pasi za mwisho ulaya messi hakosi hapa washindani wake ni akina Kelvin de brune na sio ronaldo ), uwezo alio nao katika kukokotoa mpira(katika tatu bora ya wakokotoaji wa mpira ulaya messi hakosi hapa washindani wake ni akina hazadi na neymar na sio ronaldo), uwezo alionao katika kufunga magoli(katika tatu bora ya wafungaji wa magoli ulaya messi hakosi hapa ndipo anaposhindana na ronaldo).
Ronaldo na Messi ni wachezaji bora sana na wameonyesha uwezo mkubwa na rekodi kubwa katika ufungaji wa magoli lakini messi ana vitu vingine vya ziada(kukokotoa mpira, kutengeneza magoli, kutoa pasi za mwisho) ambavyo amevitawala.
Mkuu Katika top level je? Messi ni nuksi kwa timu ndogo ila ikija at top top level siku zote haonekani.
pasi za magoli champions league
Kwenye copa de la rey sijui wakikutana na betis messi atawatandika magoli na assist mpaka wakome ila ikija kwenye top top level messi sio bora zaidi.
Hawa ndio watoa pasi za magoli bora champions league.
View attachment 1051409
Unaona hapo Messi hajamfikia Hata Giggs na ameachwa mbali na Ronaldo, hio ni Uefa sio copa de la rey ama getafe,ni mahala wanaume wanapokutana, hata kwa pasi za magoli messi hamuwezi Ronaldo at top level.
Ukija kwenye magoli champions league kwenye makundi messi ni Nuksi
View attachment 1051420
Ukitoka kwenye makundi hatua inayofuata pia Messi ni balaa round 16 mtoano, eneo lao la kuwapiga Arsenal.
View attachment 1051423
Ukianza kuja robo fainali Andunje pumzi inakata maeneo yake ya kupotea hayo.
View attachment 1051426
Imagine mkuu utofauti wa magoli 23 against 10 hapo ndipo unapoona mchezaji anaye step up kwenye mechi kubwa na specialist wa kuzifunga timu ndogo. Robo fainali hakuna timu ndogo na magoli ya messi kidogo.
Twende Nusu sasa ambapo timu zinazidi kuwa ngumu.
View attachment 1051427
Hapo unaona jinsi Ronaldo alivyo bora nusu fainali na Messi anazidi kudrop amepitwa na watu kibao nusu fainali.
Tumalizie na fainali sasa.
View attachment 1051428
Umeona na fainali Tena Ronaldo ni mbaya zaidi anatupia zaidi.
So mkuu nikuulize swali.
Mchezaji mkali hatua ya makundi na mchezaji mkali wa robo, nusu na fainali yupi bora?
Mchezaji mkali wa kutoa pasi za magoli makombe ya kugombania pipi, na mchezaji mkali wa kutoa pasi za.magoli makombe makubwa kama Uefa yupi mkali?
Na sio Uefa tu, hata world cup Messi magoli yake ni hatua za makundi tu, ikifika tu round ya mtoano anapotea kama sio yeye, tumeona fainali na ujerumani ile utafikiri alikuwa anashindana mashindano ya kutembea kwa hiyari kuchangia watoto yatima.
Wakati Ronaldo tumemuona na Portugal hatua zote za mtoano Euro jamaa amesaidia kila goli limetoka kwake. Mechi 6 alizocheza goli 3 na assist 3 average kila mechi ana contribution ya goli 1.
Mkuu wakikutana wanacheza wachezaji wawili? Hivi madrid akikutana na barcelona pepe akala red inamaana Messi ni bora kuliko Ronaldo? Hakuna hoja yoyote kwamba timu zikikutana inayoshinda badi mchezaji wa Timu alioshinda ndio bora, na sijawahi ona watu wakitoa tuzo kwa style hio.Ronaldo amemzidi Messi michezo mingapi ukitaka kujua huyu Ronaldo hamuwezi Messi wakutane against ndiyo utaona jinsi Ronaldo anavyomchekigi Messi kwa kumtamani
ongezea na ligi pamoja na copa de ley za msimu huu 2018/19Top 7 players with most trophies in Europe
#7. Gerard Pique – 30 trophies
#6. Zlatan Ibrahimovic – 31 trophies
#5. Maxwell – 32 trophies
#4. Andres Iniesta – 32 trophies
#3. Lionel Messi – 33 trophies
#2. Dani Alves – 34 trophies
#1. Ryan Giggs – 35 trophies
NITAFUTIENI RONALDO😉😉😉
Messi anaenda kuvunja hii record very soon coz ana muda mrefu wa kucheza
Mimi naongelea engine ya kufanikisha hayo yote,wewe kitumbua double matako ebooohWE MATAKO KWELI, TIMU NZIMA IMECHUKUA MARA 3 SIO RONALDO
Ahaaaaaaaaah ko umetunga ili watu wakuamini Nini.NEVER AND WILL NEVER BE LIKE RONALDO IN WORLD HISTORY OF FOOTBALL FOREVERMORE.Hizo picha hapo chini ni za msimu ulioisha(2017/2018) katika ligi nne kubwa Ulaya katika takwimu za aliyeongoza kwa kukokotoa, kutengeneza nafasi za mabao, kutoa pasi za mwisho na ufungaji wa magoli. La liga maeneo yote manne yalitawaliwa na messi. Wanaosema Messi ni bora kuliko Ronaldo wanaangalia uwezo alionao katika kutengeneza magoli(katika tatu bora ya wanaotengeneza magoli ulaya messi hakosi hapa washindani wake ni akina James Rodrigues, De brune na sio ronaldo), uwezo alio nao katika kutoa pasi za mwisho(katika tatu bora ya wanaotoa pasi za mwisho ulaya messi hakosi hapa washindani wake ni akina Kelvin de brune na sio ronaldo ), uwezo alio nao katika kukokotoa mpira(katika tatu bora ya wakokotoaji wa mpira ulaya messi hakosi hapa washindani wake ni akina hazadi na neymar na sio ronaldo), uwezo alionao katika kufunga magoli(katika tatu bora ya wafungaji wa magoli ulaya messi hakosi hapa ndipo anaposhindana na ronaldo).
Ronaldo na Messi ni wachezaji bora sana na wameonyesha uwezo mkubwa na rekodi kubwa katika ufungaji wa magoli lakini messi ana vitu vingine vya ziada(kukokotoa mpira, kutengeneza magoli, kutoa pasi za mwisho) ambavyo amevitawala.
SEMA baba yako ebooohMessi ndo babalao
Kalale umechokaWa kwanza mimi niblock,
Unajua maana ya goal machine,uwezi kuwa goals machine Bila kuwa complete player,ila unaweza kuwa complete player Bila kuwa goal machine ko Ronaldo ni namba nyingine mkuuHuu ukweli mtupu mkuu Ronaldo ni Goal Machine lakini Messi ni Complete player ni play maker wa timu anashuka chini kupandisha timu na mambo mengine mengi yeye Ronaldo anachofanya ni kufunga magoli na yuko vizuri kwenye kufunga