The Undisputed Messi

The Undisputed Messi

Portugal bila Ronaldo isingefuzu hata Euro ama World cup, Messi anacheza na Aguero, Di Maria, Mascherano, Riquelme, Hiaguain, Lautaro Martinez na masuper star kibao, wakati Ronaldo Ana lord Eder, Danilo, pepe, rui patricio, Renato, Nani etc. Kifupi Ronaldo Ame over achieve na Portugal hasa vile Euro haichezwi Mara kwa Mara.

Nimekwambia nakuletea Data za Copa America haya hapa Magoli yote ya Messi copa America.
-Goli la kwanza vs Peru
-goli la pili vs mexico
-goli la 3 vs Paraguay
- goli la 4,5,6 (hattrick) vs panama
-goli la 7 vs Venezuela
-Goli la 8 vs Usa
-goli la 9 vs paraguay
-Goli la 10 vs Chile
-goli la 11 na 12 vs Bolivia
-Goli la 13 vs Ecuador

Source

Copa America ukiambiwa utaje timu hata 5 nzuri utataja Chile, Brazil, Argentina, Uruguay na Colombia.

Against hizi Timu kubwa ana Goli 1 TU vs Chille, Messi hajawahi funga Vigogo wa Copa America japo anakutana nao sana tu.

Ila akikukutana na mighty Panama, Bolivia ama Ecuador ama Paraguay wanamkoma. Wanachezea Dozi za kutosha.

Ukija Ronaldo Angalia Euro Hii tu ameperform vizuri vs France na Ujerumani.

Kwenye Goli 14 za Ronaldo Euro
3 kawafunga uholanzi
2 kawafunga Ufaransa
1 kawafunga ujerumani
1 kawafunga wales
2 jamhuri ya Czech
1 ugiriki
4 hungary

Hivyo unaona jinsi Ronaldo anavyo hustle vs opponent wakubwa.

Mfano 2004 ili portugal wafike fainali ilibidi wamtoe Spain, uingereza na Uholanzi. Euro kila timu unayogusa ni ngumu.
Your arguments are so cheap???

Twende kwenye achievements
 
Messi ndo kaipeleka argentina kwenye final zote iwe kufuzu iwe kucheza fainali ...mimi sina mda wa kupoteza mda wng na Mb zng kululetea izo data wewe wkt Argentina unajua kbs ilikua ni 1 man team anabeba mzigo wote yy na lawama wakishindwa anapewa wewe..data siwez kukuletea katafute mwnyw na wala usitafute najua unazijua..mda wa kukuletea ww data mtu unayejua siwez kua nao kwa sbb unabishana just for the sake ya kubishana wkt unajua team ya taifa ya Argentina Messi alikua na zigo la mwiba.

Hlf we jamaa ndo maana tang jana nakwambia sijui kama unajua mpr vzr ww kwa sbb hoja zako zinanipa sana mashaka..unasema Messi kacheza na Majina makubwa lkn cr7 kacheza na majina ya kawaida kawabeba..unazungumza aya ukiwa umeshiba pilau la Sikukuu au vipi.

We unajua kbs team sio majina makubwa team asa katik izi michuano ya knockout games ni kucheza kama team kua na fighting spirit as a team sio kua na majina ya watu ambao sio hard working kama wakina Gonzalo Higuian ambaye amekua anaicost Argentina Final 3 tofaut kwnye nafas za 1 on 1 anakosa kuipata team goal wangekua leo hii hata tunazungumza Messi na world cup 1 na Copa america hata 2 kama isingekua ujinga wa mtu kama Gonzalo.

Ndo maana Ureno ilishinda ubingwa 2016 pa1 na cr7 kuumia na kua kama "Cheerleader" akiwa bench tu..ni kwa sbb gani unahis?..ni kwa sbb Team ya ureno walikua hawategemei tu yy kuwepo walikua wanacheza kama team ndo maana pa1 yy kua bench kaumia lkn wanaume walipambana na kumpa kombe la euro had mwnyw akawashr maana walicheza kama team.

Angalia pa1 na hoja yako iyo ya ovyo kua Messi alicheza na team ya majina makubwa lkn angalia hawakushinda kitu kwa sbb hawakua wanaweza fight kama team kwa pa1 kwa ureno walivompambania cr7 kwenye final...ndo maana unaona Messi kaja kushinda ubingwa mwaka huu na kikosi cha kawaida kikiwa akina majina mengi sana makubwa kama kile cha awari lkn ni kikosi ambacho wanacheza kama team wanapambana kwa pa1.
 
Your arguments are so cheap???

Twende kwenye achievements
Sio cheap tu bali ni mfu..anaongea kama hajui kua argentina imekua team ya mtu m1 kwa miaka mingi na ikishindwa ndo wnyw hao hao walikua wanaponda saiv anaongea kasahau kua hata final cr7 alibebwa na wenzake yy alitoka mapema tu wenzake walimpambania yy akiwa mshabik ndo akabeba euro
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] hivi mafanikio makubwa na ronaldo Madrid alikuwa na majina madogo?? Huko Juve kaoshwa ila alikuwa na majina makubwa ila Lukaku KAMPAUA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama Argentina ni timu ya Mtu mmoja basi ni Di maria
1. Kafunga Fainali ambayo imempa Messi kombe
2. Ni yeye ndie alieibeba Argentina mpaka fainali world cup, kama kawaida jamaa yetu Alifunga magoli 4 hatua za Makundi, ila mtoano kote hakufunga kitu ila Di Maria akawa anaibeba.
 
Mimi sijataka hata kumexpose kuhusu madrid nimemuacha nimemfichia aibu iyo..hlf anakuja na hoja nyepes kuhus eti kacheza na majina makubwa.
 
Hebu mrushie stats za ARGENTINA zwa mwaka 2021 aone Messi kabebwa au kaibeba timu
FB_IMG_1626797798081.jpg
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] hivi mafanikio makubwa na ronaldo Madrid alikuwa na majina madogo?? Huko Juve kaoshwa ila alikuwa na majina makubwa ila Lukaku KAMPAUA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimezungumzia timu ya Taifa ila mnatafuta tu njia ya kuhamisha magoli, huko Madrid record YA Ronaldo ni kubwa tushaizungumzia huko Nyuma,
 
Kama Argentina ni timu ya Mtu mmoja basi ni Di maria
1. Kafunga Fainali ambayo imempa Messi kombe
2. Ni yeye ndie alieibeba Argentina mpaka fainali world cup, kama kawaida jamaa yetu Alifunga magoli 4 hatua za Makundi, ila mtoano kote hakufunga kitu ila Di Maria akawa anaibeba.
Ndio uwe unaelewa[emoji41]
FB_IMG_1626515757988.jpg
FB_IMG_1626515752097.jpg
 
Nimezungumzia timu ya Taifa ila mnatafuta tu njia ya kuhamisha magoli, huko Madrid record YA Ronaldo ni kubwa tushaizungumzia huko Nyuma,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tim ya Taifa angalia stats hapo juu[emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama Argentina ni timu ya Mtu mmoja basi ni Di maria
1. Kafunga Fainali ambayo imempa Messi kombe
2. Ni yeye ndie alieibeba Argentina mpaka fainali world cup, kama kawaida jamaa yetu Alifunga magoli 4 hatua za Makundi, ila mtoano kote hakufunga kitu ila Di Maria akawa anaibeba.
Basi huna akil ya mpr wewe unaongea tu ukiwa umeshiba pilau ndo maana unaongea hoja za ovyo...nimeona nisibishane na wewe tena maana unanipotezea mda wng kukuelewesha mtu kama wewe ambae unasahau cr7 hata final.ya euro akucheza alikua mshabik wenzake ndo walimpa kombe yan hakucheza kbs...unasema Messi kafunga makundi tu mtoano hukuona goal zake au ulikua hujaanz angalia mpr au assist zake hukuziona au chances alizo create ww hujaona.

Bishana lkn bishana vitu vilivo na mantiki sio kuleta vitu ambavyo vinakuaibisha hata wewe kua hujui hata unachokiongea.

THIS CASE IS CLOSED KWANGU MAANA UMEFANYA NIKOSE HATA CHA KUKUJIBU KAMA UNAWEZA ANDIKA AINA HII YA POINTLESS.
 
Hebu mrushie stats za ARGENTINA zwa mwaka 2021 aone Messi kabebwa au kaibeba timuView attachment 1862092
Ndo maana nimeona siwez tena hata kumQuote huyo jamaa maana sasa anazungmza vitu ambavyo ni pointless kbs..umempa izi numbers sio kwamba hajui kakaza kichwa tu kwa sbb ya mapenz binafs na cr7..sasa mtu wa ivo unapoteza mda kubishana nae wa nini.

MASHABIKI WENZAKE WA CR7 WANAPITIA HII THREAD WANASOMA KABISA LKN WAMEKAA KMY HAWANA CHA KUCHANGIA KWA SABABU HOJA ZA MESSI ZINA MASHIKO NDO MAANA HAWAJATAKA KUJIAIBISHA
 
Basi huna akil ya mpr wewe unaongea tu ukiwa umeshiba pilau ndo maana unaongea hoja za ovyo...nimeona nisibishane na wewe tena maana unanipotezea mda wng kukuelewesha mtu kama wewe ambae unasahau cr7 hata final.ya euro akucheza alikua mshabik wenzake ndo walimpa kombe yan hakucheza kbs...unasema Messi kafunga makundi tu mtoano hukuona goal zake au ulikua hujaanz angalia mpr au assist zake hukuziona au chances alizo create ww hujaona.

Bishana lkn bishana vitu vilivo na mantiki sio kuleta vitu ambavyo vinakuaibisha hata wewe kua hujui hata unachokiongea.

THIS CASE IS CLOSED KWANGU MAANA UMEFANYA NIKOSE HATA CHA KUKUJIBU KAMA UNAWEZA ANDIKA AINA HII YA POINTLESS.
Naona unavyomwaga data, kwa heri.
 
Finali kila mtu aliona ndio Messi alicheza tena akiwa na injury ya kifundo cha mguu tangu game ya Ecuador na alicheza ya colombia akiwa nayo na fainali kacheza 90 minutes akiwa na iyi injury haijapona vzr na kamaliza game na wenzake uwanjan

Wkt kuna mwngne fainali ya 2016 yy alitoka akawa mshabik wenzake na wakapambana full 90 minutes kumpa kombe.

Aya unasemaje na hapo ss kuhusu kuangalia final me niliangalia zote ya 2016 na hii ya 2021.
 
Ila wazee acheni ujinga Na kumshusha messi...magwiji wote,wajuvi wote Na mitandaoni kote hawabishani kuhusu Messi Na Ronaldo saivi.
Saivi debate kubwa Ni Messi Vs Pele Vs Maradona Nani Ni GOAT?
 
Mkuu nimekusiliza na nasema tena huwez niona nabishana khs Messi vs Cr7..hii mada imeishia hapa na sibishani tena maana nimegundua me ndo naonekana mjinga tena sina akil kama bado nabishana nan bora kati ya Messi na Cr7

CASE HII NAIFUNGA KBS SASA IVI KWA HESHIMA YA THE GREATEST PLAYER EVER TO GRACE A FOOTBALL PITCH #THE G.O.A.T #MESSI.
 
Ivi unaongea haya uko serious kbs unasema team za england hazina time na europa yan unaongea kbs serious ?..ivi wangekua hawana time man u angeweka kikosi cha kwnz kwnye Europa wabebe kombe wakafungwa..yan unaongea kbs bila hata kujishtukia unasema hawana time nao..lbd wewe ambae haujui thaman ya kombe ndo hauna time nayo sio wenzako ambao wanajua thaman yake wewe unaongea ukiwa huku unashabikia tu unasema hawana time nayo wkt ni moja ya kombe kubwa kbs ulaya.
Huyo shabiki wa man u juzi tu katoka kuchezea kichapo fainali europa.
 
Back
Top Bottom