The Untold Story of John Magufuli's Death: What Really Happened?


This post lacks what I and probably many others had hoped to see and hear.In short it has nothing new,it is the same old government narrative which does not tell us what actually happened.
 
Dead tells no tail
 
This is just a history under his name and not untold story as you have narrated in your heading
 
Kuna kitu cha ziada ambacho watu walitamani kujua lakini sidhani kama kitajulikana , ni kama mfano wa vita kama ya Kagera wote tunajua jinsi tulivyoshinda lakini Kuna vitu, watu,matukio Fulani Fulani nyuma ya pazia hayasemwi.
 
Mkuu ni nini hiki? Kabisa unaweka kichwa cha habari ''The untold.......''. Ni nini kipya kilichoandikwa hapa? Yaani nimekimbilia kusoma nikidhani kuna kipya kumbe ni zile hadithi zinazoimbwa mpaka na gazeti kama Uhuru kuhusu Magufuli. Hutenda haki kabisa.
 
Hakuna mtanzania mtaani au popote duniani ambaye atauelezea utata wa kifo chake, kama ulivyo wasilishwa na mada husika.

Labda mahasimu wa nchi hii.

Itoshe, hiyo ni narrative iliyotengenezwa kwanza, halafu ndio kampeni za kumchafua zilipo zinduliwa.

As a matter of fact, ni vijihabari vilivyoungwa ungwa kutoka BBC na baadae kuokotwa na media zengine mbali mbali duniani.

☝🏿Kilicho bandikwa ni muendelezo wa kumchafua Hayat Rais John Pombe magufuli kitu ambacho kiliasisiwa na vibaraka wa mafisadi, wezi, na mabeberu wa kiuchumi, CHADEMA.
 
Just narration of the already known facts
 
The heading of your thread suggested that you have untold details of Magufuli's death. But from introduction to the conclusion there is nothing new other than gossip from hangouts.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…