The US Defence Department “Pentagon” think tank warned Magufuli of political repression

Hapa wangemtumia kwa lugha ya kishwahili wote tunajua mzee wetu n hii lugha mbingu n ardhi kwa umbali[emoji3]
 
Hakika nimesoma neno kwa neno.

Jiwe ni mwana kulitafuta mwana kulipata.

Lissu amekuwa akisisitiza sana kuwa "uchaguzi huu si mwepesi kama wengi tunavyodhania"
na amekuwa akisisistiza kuwa yeye si mjinga.

Barua imejaa matendo yote ya Huyu dicteta uchwara.Hakuna dikteta mwenye mwisho Mzuri.

Mwana kulitafuta mwana kulipata.
 
Mkuu kabla ya kujibu huwa unatafakari kwanza au unakurupuka??
Anyway Hapo ulipo umepata kifungua kinywa ?? Walau hata uji??

"Unaweza kuukataa ukweli Ila HUWEZI kupinga athari za ukweli" Hiyo nimekupa Shule bila ada.
 
u
Umekurupuka kishamba.
 
Umeandika utopolo mtupu hujui 'r' inakaa wp!?
wala l' inakaa wp!?
akaperekwa!
jera!
Rudi skuli chief hata kwa elimu ya watu wenye umri mkubwa usione aibu
 
Labda unafikiri marekani ni gairo???
 
wakati wa sakata la makinikia tuliambiwa kuna mwanajeshi aliyepigana na kuongoza vita IRAQ
 
Mbona huko ze hegi kabla ya Magu kumaliza muda wake mbona tutakuwa tushajitoa toa tayari
Pumbavu sana hao ze hegi wako
 
subirini mje mminywe kunako
 
Americans wako hivyo! Ukiwa mfuatiliaji mzuri Wa matukio utagundua kwamba wametuchoka na wakipata sababu yeyote ile ya kutuhujumu lazima watafanya. Kama hali ya ukandamizaji ikiendelea hivi usishangae hata CCM wakishinda ushindi wao America haitautambua na pengine wakashinikiza aliye haribu uchaguzi ashitakiwe henceforth. Kwa ujumla Magufuli awe makini sana, the going is not in his favour.
 
Hakuna alipokosea ambapo panahatarisha Amani
Watuache
 
[emoji1][emoji1] wakalumani wenyewe uvccm .. utakuta ujumbe ulio fika ni wa mwaliko kwenda dc
Hahaha walimuandikia kwa kiinglishi au ilipitia kwa wakalimani kwanza?!

UVCC a.k.a JESHI LA AKIBA watakuja kusema ccm imepongezwa na Marekani.

Mgeitafasiri kabla hawajaamka.
 
Magufuli ajirekebishe.. Tanzania ni mipaka tuu ili ni ya wote. Aache uhinafsi..

Kazi ana fanya vizuri sana ila ..
 
U UJinga mtupu na hakuna kitu cha nmna hiyo, na kama ni kweli labda wantafuta mwanaume wa kuwafi,,,
US D DP Hawana haki ya kutukoromea,
Kama wana nguvu waende Korea kaskazini wakione cha moto.
 
... pia sipendi Usahbiki wa kipumbav kama wa mtoa mada kwan uwezo waweza kufikiri ni wa kutatanisha.
Umesoma kuanzia paragraph ya ngapi ndg mtanzania?
Mtoa mada kapest au bandiko lake mmh!
 
Black Life Matter...
Slavery

Viva JPM
 
Unafoka au unaelekeza
 
Kama mzungu asingekuepo waafrica tungekua tunachinjana kama kuku....Ova!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Kitu usichokielewa ni kuwa mmelipwa ili mpingane na sheria zenu, muuane na kujificha ili ionekane serikali ndo inafanya hayo, wapate pa kuingilia siasa zetu na kufanya wapendayo.

Iko wapi demokrasia na amani baada ya aliyeitwa dikteta Gadaf kuuawa? Je, libya imepata kilichosemwa kuwa demokrasia, uhuru wa vyombo vya habari na amani?

Mzungu hajawahi kupenda demokrasia, amani na utulivu kwa maslahi ya mwafrika hata siku moja.

Mzungu huwaza kutuchonganisha tupigane ili yeye auze silaha na kuchota utajiri wetu.

Shangilieni hayo, siku ikifika tutaelewa kama huo ni upendo au uchochezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…