The US Defence Department “Pentagon” think tank warned Magufuli of political repression

mkuu usione hizi kelele ni hasira za kunyang'anywa tonge, asilimia kubwa ya watu wanaolalamika sasa ni wale waliokuwa wananufaika na mfumo ulioruhusu wanufaike.

Fedha inazokusanya sasa serikali na kuzipeleka kwenye miradi hizo ndio zilikuwa ziingie kwenye mifuko yao, hivyo kuugeuza uchumi wetu tegemezi wa hali kama hiyo, ndio maana Chadema wakaja na sera ya maendeleo ya watu na sio vitu kwa kuangalia trend ya malalamiko ya mitandaoni wakisahau kwamba Magufuli anafanya mambo yanayowagusa wengi hasa wa kada ya chini ambao ni wengi zaidi ya hao wanaolalamika mitandaoni.

Ukiangalia mitandaoni utafikiri kitanuka muda si mrefu il situation on the ground is quite different watu wanamchukulia Magufuli kama kiongozi shupavu na wanamuadmire sana.
 
Baada ya pesa za kutibua nchi yetu kubanwa na kuwaacha vibaraka wao kushindwa hata kuchapisha mabango, sasa wameamua kuja na mkakati wa kuichafua Tanzania kwa kigezo cha demokrasia.

Wapambane na CORONA kwanza kabla hawajaanza kuongea ushuzi wao
 
Has it done the same to Trump, to warn him against racist and racism actions against the BLACKS and migrants in the US!? Charity begins at home brother. Tell or remind the Pentagon to act positively to their internal or homeland calamities first before indulging in other countries affairs.
 
Halafu huyo huyo aliyekutawala anakufundishia jeshi lako na kukupa misaada kedekede, yaaani.
 
Hivi hao Pentagon ni nani hasa? Kwa limbukeni, hao Pentagon ni kama vimiungu vya kuchonga hivyo wana viabudu sana na kuviamini na hasa hasa wanapoandika American pigeon English kuzuka washabiki wao. Hababaiki mtu hapa, hizo ni kelele za chura hazimzuii TEMBO kunywa maji!
 
CIA ya zamani isingelimchelewesha huyu mtu!
Hakuna lolote porojo tu. Walishindwa wakati wa ukombozi wataweza sasa. Sijui unaongelea CIA gani wakati walishindwa kuzuia Trumpet awe rais. USA wako over rated. Cuba tu iliwatoa kamasi, walichofanikiwa ni kumuua Bob Marley tu.
 

Ujinga mtupu Waafrika sijui nani alituloga, watu na akili zao wanawewesekaweweseka tu. Kama USA wajuzi mbona wameshindwa na kaugonjwa kadogo tu ka-Corona. Tanzania ni babalao. Nyerere aliwaambia Africa itakuwa huru na ikawa tutashindwa hili dogo tu la kuinua uchumi wetu.

 
Yaani kwa vile watu wanakufa Marekani basi nasi Watanzania kuuwawe tu na Magufuli. Argument ya kijinga kabisa.
 
Hii link ulioweka mbona inaonesha kua hii habari imeondolewa...

The fact kua tunajadili maoni binafsi ya Gazeti kutoka "kenya" na habari yake isiyoweka source ya habari yake inaleta walakini wa habari nzima.

Watu wameona neno Pentagon basi povu limetutoka km lote ila hawajaona a keyword "Affiliated"...

Na hili neno mwandishi wa habari kaliweka makusudi kuwatoa povu wakurupukaji na kujiweka salama incase Pentagon wakitaka verification ya source ya habari yake na probably ndo maana hii habari imeondolewa.

Hili gazeti lilishawahi kuandika kua Tz ndo inaongoza kwa madawa ya kulevya na wakaweka maneno hayo hayo kua source ni CIA ilihali inajulikana KN ndo kumechafuka.
Unabaki kujiuliza CIA ikifanya issue za Madawa na DEA watafanya nn?

Tangu lini Pentagon(US Military) ikajihusisha na maswala ya kisiasa?ni sawa na JWTZ au jeshi la Uingereza kuanza kuongelea siasa za Kenya or inchi nyingine yoyote. Ingeongelewa na wanasiasa wa marekani then ningeeelewa bt never on eath Pentagon.

Na Tangu lini Marekani wakaficha majina yao kukisema ki inchi kidogo km Tz?mwandishi wa habari should have revealed the name of his source.

Nipende tu kuwakumbusha watanzania wenzangu whatever is happing in Tz kuna majirani hasa jirani wanafiki km KN wangependa ku take advantage of the situation na kutuvuruga maana wanaona tunampumulia ktk issue ya kimaendeleo na zaidi how we humiliated them ktk issue ya corona na marufuku ya Ndege zao. Wanatuchokoa then wanakaa pembeni kuona how good are we ktk kugombana wenyewe.

Be warned.
 
You are out of focus.
 
Please come up with facts to challenge this post if you can not be mum.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…