Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,681
- 9,084
jibu yes or no...matusi kila mtu AnawezaMmmm,you are dumb,sio size yangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jibu yes or no...matusi kila mtu AnawezaMmmm,you are dumb,sio size yangu.
Uko mzima kweli! Unaishi katika dunia ipi? Labda ni dunia ya Trump inayohodhi alternative facts...pole sana Mtanzania halisi.Fast forward, Bunge la Arizona limefanya forensic audit ya kura kwa kutumia professional auditors na ripoti ineshatoka.
Jibu ni kuwa kulikuwa na fraud ya hatari.
Wale mliotuita vilaza ni wakati wa kutuomba radhi!
Some findings
- 3,981 voted despite registered AFTER Oct 15 deadline.
- 11,326 voted who were NOT on rolls on Nov 7 but WERE on Dec 4.
- 18,000 voted and then were removed from rolls AFTER election.
- 74,243 mail-in ballots w/ NO evidence of ever being sent.
Redacted version attached
Bado uko kwenye dunia ya CNN boss? Basi sawa.Uko mzima kweli! Unaishi katika dunia ipi? Labda ni dunia ya Trump inayohodhi alternative facts...pole sana Mtanzania halisi.
Alafu mbona umeruka kusema kura za Biden zimeongezeka baada ya auditBado uko kwenye dunia ya CNN boss? Basi sawa.
Hili ni bunge la state ya Arizona wamefanta forensic audit karibu mwezi mzima wakipitia kura kwa kura kuona kama zilikuwa halali za county moja tu ya Maricopa.
Matokeo ni kuwa kulikuwa na fraud ya kufa mtu. Sasa kama bado unawaza Trump vs Biden na sio kipi ni ukweli basi utakuwa na tatizo boss.
I thought you guys were objective na finally mngeona kuwa kweli kulikuwa na fraud. Ila kwa sababu umeamua kufumba macho basi sawa.
Endelea kuishi dunia ya CNN, Trump sijui nani. Ukweli kwako sio muhimu ila itikadi.
Wakati wa kuomba radhi umefika.
Stephano Mtangoo, may be this time you are right and for once nakubaliana na wewe, humjui Trump...feel free to call me dumb so there!...Trump sijui nani.
You've got to be joking! Huo ujasiri Stefano Mtangoo atautoa wapi!Alafu mbona umeruka kusema kura za Biden zimeongezeka baada ya audit