Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna watu WAMEFURAHIA hii post ile mbaya
umedanganya kwenye PH. Nyingine ni highly corrossive
Of course even the anus is relatively cleaner than the mouth when it comes to microbiology.
Si ndiyo maana anakuambia it is cleaner than the mouth? Acidity inachangia kuwa cleaner. Neutrality ya mdomoni ni sawa na unafiki wa mdomo haujawa baridi wala moto inategemea unatia nini mdomoni humo.Kweli amedanganya kwenye pH! The vagina is very acidic due to lactobacilli fermenting glycogen. Its pH is 4.5
hahahahaaaaa! The mouth is the dirtiest cavity in a human body kwa taarifa yako. Usitetee kwa sababu unapenda busu la ulimi tu. Hata wazungu wanakataa kabisa kwamba busu ni hatari kuambukiza magonjwa kadhaa, kwa sababu inaumiza kujua hilo wakati busu ni sehemu muhimu ya maisha yao - nakumbuka walinibishia sana maprofesa wa kizungu kwenye mjadala juu ya jambo hilo miaka ya 1990 mwishoni, mmoja wao akaniletea baadaye artical ya journal fulani ya kisayansi inayoelezea namna HIV inavyosambaa. Ujinga ni rafiki sana wa tabia.You are cheating us! Microbiologically, the anus is much dirtier than the mouth!