The voice from within aandikayo Pascal Mayala na akataja ka Neno Karma inanifikirisha hapa huyu mtu yuko wapi yapata week kadhaa ni tetesi

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Voice from the voice of within , inanifikirisha Hivi kweli Karma ipo? Na Kama ipo ndo ilimtafuna aliyemtwanga Risasi Antipass? Ndo ilimyoosha alomuua Lodilofa Kwa kisingizio cha mshtuko baada ya mkutano wake wa mabiti nyumba mithiri ya Meli ?

Je Karma ndo imemtafuna aliyemuua Ben wa Rabiu?

Lajwabe huko ulipo utakuwa nawe unawaza je huyo alotutanguliza ndo tunaye hapa ?

Anyway Mwenyekiti wa Chama kinachosemekana ni kikuu cha operations mbali mbali nchini Miaka hiyo yuko wapi siku hizi?

Pale bahari barabara hayupo tena ,
Maana afya yake inadhoofu sana tumuombee

Yuko wapi Mwenyekiti ?
 
Acha umbea, Mbowe alikuwa na kikao na Kinana Jana tu.
 
Decoding:
Wenyeviti wanaizungumziwa ni wa NCCR, CUF,TLP na CHADEMA.

Mwenyekiti wa CUF nimemuona juzi, mwenyekiti wa NCCR akapambania uenyekiti wake na kwa muktadha wa mada sio yeye maana msajili kabariki kuondolewa kwake kwa hiyo sio mwenyekiti tena.
Mwenyekiti wa TLP yupo mbele za haki na hapa bado mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe maana toka alivyowavua akina mdee uanachama hajawahi kuonekana popote, yupo wapi?
 
Tehe! Tehe! Tehe! Unataka kusemaje mmleta mada?

Hakuna karma yoyote inavyomtafuna huyo mwenyekiti.

Wanaotafunwa na karma ni:- Heri James, Gambo, Mnyeti, Ali Happi, Makonda, Sabaya, Kabudi, Msukuma, n.k.

Huyo unayemuongelea yuko bize na Mambo yake
 
😅😅😅😅hii sasa ndio Voice from Within
 
Back
Top Bottom