britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Mbowe alikuwa Ocean Road?Duuh, hii code nzito kuifunua.
Acha umbea, Mbowe alikuwa na kikao na Kinana Jana tu.Voice from the voice of within , inanifikirisha Hivi kweli Karma ipo? Na Kama ipo ndo ilimtafuna aliyemtwanga Risasi Antipass? Ndo ilimyoosha alomuua Lodilofa Kwa kisingizio cha mshtuko baada ya mkutano wake wa mabiti nyumba mithiri ya Meli ?
Je Karma ndo imemtafuna aliyemuua Ben wa Rabiu?
Lajwabe huko ulipo utakuwa nawe unawaza je huyo alotutanguliza ndo tunaye hapa ?
Anyway Mwenyekiti wa Chama kinachosemekana ni kikuu cha operations mbali mbali nchini Miaka hiyo yuko wapi siku hizi?
Pale bahari barabara hayupo tena ,
Maana afya yake inadhoofu sana tumuombee
Yuko wapi Mwenyekiti ?
Kwakweli !! Lakini hakika Karma ipo na itamfikia kila mtu na matendo aliyoyafanya !! Ni muda !!Duuh, hii code nzito kuifunua.
π π π π hii sasa ndio Voice from WithinTehe! Tehe! Tehe! Unataka kusemaje mmleta mada?
Hakuna karma yoyote inavyomtafuna huyo mwenyekiti.
Wanaotafunwa na karma ni:- Heri James, Gambo, Mnyeti, Ali Happi, Makonda, Sabaya, Kabudi, Msukuma, n.k.
Huyo unayemuongelea yuko bize na Mambo yake