The Wedding of Bastard and Wallding..

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
35,812
Reaction score
107,628
This guy he's so Cool
Cool guys..Passive guys
Kit Harington (Jon Snow) Mwaka 2018 alifunga ndoa na mchumba wake Rose Leslie (Ygritte) aliekutana nae kwenye kuigiza series ya Game of thrones.

Namkubali sana huyu jamaa..If you're a cool person and Never mind person Basi ujue you got all love and appreciation from me..!
Cc Mark Zuckernburg,TI ,Wentworth Miller, Eminem etc..


Sent using Jamii Forums mobile app

Ygritte. You know nothing Jon Snow
Jon. I know how to fuckk you

 
Star's Daughters..
Sophie Turner in red (Sansa Stark) Maisse Williams (Arya Stark the No One )
1
 
Emilia Clarke (Queen Daenerys Taegeryan stormborn, khaleese, Mother of Dragons, Breaker of Chains and Blah blah blah blah blah )
 
Bora tu chalii yangu nikaucheki ule Uzi wa Riki the great boy wa kimasihara manake hapa hatutaelewana arif
 
I can't fight but I'm good with hummer..
Gendry Baratheon the Bastard.
 
Ukiangalia haraka utajua huyu ni Bronn..
ila huyu ni Edd rafiki ake Lord commander Jon Snow.. Walipambana pamoja kule Hardhome against White walkers and the Army of Dead
 
Ukiangalia haraka utajua huyu ni Bronn..
ila huyu ni Edd rafiki ake Lord commander Jon Snow.. Walipambana pamoja kule Hardhome against White walkers and the Army of Dead
View attachment 1355737
Mbona hafanani na Bronn kabsa.
Kwa mtu aliyeangalia series yote hawezi kuwafananisha.

Beggars can't be choosers
 

Pale mtu anapo confuse a movie character na real life person ndio ninapochoka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…