The Weekend vs Justin Bieber

Acha kumfananisha justin Bieber na utopolo at least muweke mnyamwezi Ed sheeran apo pemben ndio tuzungumze.
 
Justin bieber 2namuheshimu wa muda ila kwa the weeknd ajipange sana.
 
kibongo bongo wasanii wanaokubalika ni wale waliohit enzi za 2006-2015
hicho kpindi ndo utandawazi ulikomaa Tz

kwahyo usishangae watu wakasema
1.Justin>Ed sheran>The weeknd

2.Rihana>Adelle>Ariana grande

3.Lil wayne>JayZ>Kendrick lamar>JCole

4.Chris brown>Drake>Bruno Mars>Zayn

5.Future>young thug>post malone>Tekashis69

ila ukweli ni vice versa
watu wanawapenda wasanii walioanza kusikika bongo ilihali hata huko US hawahiti tena saivi

waliofulia ni hawa ambao wakija bongo bado tunawachukulia wakubwa
*rickross
*Lil wayne
*Justin bieber
*Fat Joe
*Omarion
*50 cent
*Neyo
*and yes Rihanna
*JayZ
*Beyonce
*T pain
*TI
*Tyga
*Alicia keys
etc. etc.

hao hata wakitoa ngoma saivi haiwi hit(except riri na jB kwasababu fanbase yao bado inawasapoti)

kuna wanaohit saivi wakija bongo hawajulikani
*The weeknd
*Roddy rich
*Zayn
*Ariana grande
*Dababy
*Lil baby
*Tekashi69
*Meghan thee stalion
*Taylor swift
*21 Savage
*Cardi B
*etc. etc.

Hao wakija bongo wanaweza kuzidiwa na Zuchu kujaza show ila ni wakubw kuliko ile list ya kwanza.

kujibu swali lako kwasasa Theweeknd ni mkali kuliko Jb...Uzuri wote wametoa albam mwaka huu na ni wazi album ya weeknd imefanya vizuri ×10 ya Justn bieber.

For now weeknd ni mkali
although personally namkubali JB kwasababu niliyoitaja juu(2008-2015)
 
kibongo bongo wasanii wanaokubalika ni wale waliohit enzi za 2006-2015
hicho kpindi ndo utandawazi ulikomaa Tz

kwahyo usishangae watu wakasema
1.Justin>Ed sheran>The weeknd..
hapo kwa Zayn🙌🙌 huyo jamaa ni hatari tokea wakati ule One Direction. japo kuna yule Harry Styles nae kwikwi.

Kwamba Beyonce hana maajabu?
 
hapo kwa Zayn[emoji119][emoji119] huyo jamaa ni hatari tokea wakati ule One Direction. japo kuna yule Harry Styles nae kwikwi.

Kwamba Beyonce hana maajabu?
Beyonce kafanya album zima ya the lion King imeflop

walihisi kwasababu bey ana fanbase kubwa(beehive) basi movie ingeuza sana
cha ajabu movie haikuuza kama walivyotarajia na album ya bey haijahit kama walivyoforecast.
 
Umejibu viziri sana.
 
Beyonce kafanya album zima ya the lion King imeflop

walihisi kwasababu bey ana fanbase kubwa(beehive) basi movie ingeuza sana
cha ajabu movie haikuuza kama walivyotarajia na album ya bey haijahit kama

Beyonce kafanya album zima ya the lion King imeflop

walihisi kwasababu bey ana fanbase kubwa(beehive) basi movie ingeuza sana
cha ajabu movie haikuuza kama walivyotarajia na album ya bey haijahit kama walivyoforecast.

Beyonce kafanya album zima ya the lion King imeflop

walihisi kwasababu bey ana fanbase kubwa(beehive) basi movie ingeuza sana
cha ajabu movie haikuuza kama walivyotarajia na album ya bey haijahit kama walivyoforecast.
Sema hii sauti ya the weeknd ni kama Michael Jackson🙌🙌
 
Dua Lipa kuna ngoma moja kashilikishwa inaitwa Scared to be lonely aisee[emoji119]

Fikiria The Weeknd ft Zayn Malik[emoji119][emoji119][emoji119]
ni [emoji91][emoji91]

Tuondoe ubishi kati ya Justin bieber na Chris brown kwa saivi nani msanii mkubwa
yaani kwa perspective ya kuhit akitoa ngoma + kujaza show + kulipwa hela kubwa kwa shoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…