The WESTLANDS district of NAIROBI CITY

The WESTLANDS district of NAIROBI CITY

Another angle [emoji16]...too tiny to complete with Westland's
Enyewe Westie si ya mama ya mtu. Ni kubwa man
It smaller than dar but a hundred times better in every aspect you can think of
Unaonyesha CBD yote ya Dar, Yani Posta, Kariakoo na Upanga alafu unaifananisha na Westklands tuu.
Mtakuwa mlisomea ujinga, unapolinganisha vitu lazima kwanza uchague skeli moja, nyinyi mmelinganisha kwa kutumia nini?
 
Of course we all know that Dar covers a bigger area in sqkm than Nairobi but we also know that Nairobi is far much developed and advanced than Dar. Development of a city is not measured by how big it is ndio maana nimekupa mfano wa New York. It smaller than dar but a hundred times better in every aspect you can think of
Have you been to NY....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu Wakenya wa JF bana, wamekimbia uzi wa Dar vs NBO
Wamekuja hapa kusema Westlands is better in its own, tuusan akatoa maoni yake kwamba Westlands anaifananisha na Magomeni, basi wakora mmepaniki balaa mara ooh Westlands ni kubwa kuliko Dar, mara NBO kubwa kuliko Dar basi maneno matupu yamewatoka

Mkitaka hiyo argument rudini kule kwenye uzi mkabishane, sio kukaa hapa kujipa moyo na kufarijiana wenyewe
Eti Westland ni bora ukichukua Dar yote!!! Huu ni ujinga wa kiwango cha Thika Highway

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnachojidai nacho ni hiyo project ya multi buildings sijui Avic sijui kitu gani na tena bado haijakamilika

Kwa Dar ukizungumzia CBD (Posta, Kisutu na Kivukoni), Upanga, K/koo, Mnazi, Kijitonyama, Sam Nujoma Rd Stretch na Morocco, hiyo Westland tunawapa offer ya kuchagua ipi washindane nayo

Westland ni bora kwa kiasi chake, ila sio kwa kiwango cha kufikia sifa hizo zitajazwo na Wakora hawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nairobi ni kama pumbu tu. Dar is 6 times bigger thank mk....u nairobi
 
Wewe ndio mkora wa usiku kabisa. Wadanganyika wote wako na akili potovu kama nyie mlioko JF? Nowonder the country is headed nowhere
 
Halafu Wakenya wa JF bana, wamekimbia uzi wa Dar vs NBO
Wamekuja hapa kusema Westlands is better in its own, tuusan akatoa maoni yake kwamba Westlands anaifananisha na Magomeni, basi wakora mmepaniki balaa mara ooh Westlands ni kubwa kuliko Dar, mara NBO kubwa kuliko Dar basi maneno matupu yamewatoka

Mkitaka hiyo argument rudini kule kwenye uzi mkabishane, sio kukaa hapa kujipa moyo na kufarijiana wenyewe
Eti Westland ni bora ukichukua Dar yote!!! Huu ni ujinga wa kiwango cha Thika Highway

Sent using Jamii Forums mobile app

Ujinga tupu. Umekazana kwenye keyboard kuandika matope tu. Duuh
 
Waoga sana. Wadanganyika lazima wote tu ni masikini wa kiakili.. You wait for the debate to end during the day then you sneak In at night kurusharusha tako na ujinga. ... .
 
Nairobi ni kama pumbu tu. Dar is 6 times bigger thank mk....u nairobi
Ni Mara ngapi tutawaambia kwamba ukubwa wa eneo in sqkm haimaanishi kwamba eneo hilo liko mbele kimaendeleo? Sisi sote tunajua Dar ni kubwa kieneo but ndogo sana kwa Nairobi kimaendeleo. Ndio maana siku zote nawapa mfano wa New York city
 
Waoga sana. Wadanganyika lazima wote tu ni masikini wa kiakili.. You wait for the debate to end during the day then you sneak In at night kurusharusha tako na ujinga. ... .
Achana na hawa vilaza. Mimi hiyo magomeni nimeisikia hapa leo kwenye huu uzi
 
Huu uzi mwanzoni ulianzishwa kuisifia Westland's...... ila hakuna mahala popote mwanzishi ili alitajaikushindanisha na Westland's, lakini wabom

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom