NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Yenyewe magomeni iko karibu kufikia Westland's kwa majengo,barabara zote hizo[emoji6][emoji16][emoji16]View attachment 1055183View attachment 1055184
Sent using Jamii Forums mobile app
Another angle [emoji16]...too tiny to complete with Westland's
Enyewe Westie si ya mama ya mtu. Ni kubwa man
It smaller than dar but a hundred times better in every aspect you can think of
Mtakuwa mlisomea ujinga, unapolinganisha vitu lazima kwanza uchague skeli moja, nyinyi mmelinganisha kwa kutumia nini?Unaonyesha CBD yote ya Dar, Yani Posta, Kariakoo na Upanga alafu unaifananisha na Westklands tuu.
Have you been to NY....Of course we all know that Dar covers a bigger area in sqkm than Nairobi but we also know that Nairobi is far much developed and advanced than Dar. Development of a city is not measured by how big it is ndio maana nimekupa mfano wa New York. It smaller than dar but a hundred times better in every aspect you can think of
Asante kwa akili ya KidanganyikaMtakuwa mlisomea ujinga, unapolinganisha vitu lazima kwanza uchague skeli moja, nyinyi mmelinganisha kwa kutumia nini?
Mnachojidai nacho ni hiyo project ya multi buildings sijui Avic sijui kitu gani na tena bado haijakamilika
Kwa Dar ukizungumzia CBD (Posta, Kisutu na Kivukoni), Upanga, K/koo, Mnazi, Kijitonyama, Sam Nujoma Rd Stretch na Morocco, hiyo Westland tunawapa offer ya kuchagua ipi washindane nayo
Westland ni bora kwa kiasi chake, ila sio kwa kiwango cha kufikia sifa hizo zitajazwo na Wakora hawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nairobi ni kama pumbu tu. Dar is 6 times bigger thank mk....u nairobi
Halafu Wakenya wa JF bana, wamekimbia uzi wa Dar vs NBO
Wamekuja hapa kusema Westlands is better in its own, tuusan akatoa maoni yake kwamba Westlands anaifananisha na Magomeni, basi wakora mmepaniki balaa mara ooh Westlands ni kubwa kuliko Dar, mara NBO kubwa kuliko Dar basi maneno matupu yamewatoka
Mkitaka hiyo argument rudini kule kwenye uzi mkabishane, sio kukaa hapa kujipa moyo na kufarijiana wenyewe
Eti Westland ni bora ukichukua Dar yote!!! Huu ni ujinga wa kiwango cha Thika Highway
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Mara ngapi tutawaambia kwamba ukubwa wa eneo in sqkm haimaanishi kwamba eneo hilo liko mbele kimaendeleo? Sisi sote tunajua Dar ni kubwa kieneo but ndogo sana kwa Nairobi kimaendeleo. Ndio maana siku zote nawapa mfano wa New York cityNairobi ni kama pumbu tu. Dar is 6 times bigger thank mk....u nairobi
Achana na hawa vilaza. Mimi hiyo magomeni nimeisikia hapa leo kwenye huu uziWaoga sana. Wadanganyika lazima wote tu ni masikini wa kiakili.. You wait for the debate to end during the day then you sneak In at night kurusharusha tako na ujinga. ... .
Ni albino yupi aliuawa Magomeni. Are you in a daydream?Don't compare Westlands with some Albino killing fields ,Equivalent but NOT equal to
Samahani Kwa hiyo errorHuu uzi mwanzoni ulianzishwa kuisifia Westland's...... ila hakuna mahala popote mwanzishi ili alitajaikushindanisha na Westland's, lakini wabom
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa tumekusikiaNairobi ni kama pumbu tu. Dar is 6 times bigger thank mk....u nairobi