The WESTLANDS district of NAIROBI CITY

Hahahahaaa. Wewe Westland's imekukosesha amani kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na hawa vilaza. Mimi hiyo magomeni nimeisikia hapa leo kwenye huu uzi
Acha tu hawa jamaa ni vilaza tu, magomeni yenyewe sijui wanacompare na Westland nini? Because magomeni ni residential area ambayo bado ina makazi duni ,makazi ya magomeni ni bungalow za kiajabu ajabu, kuna apartments tu kama nne ,mtaa wa idrisaa,mtaa wa mwinyi na mikumi sioni pale kitu cha kumfanya mtu aitaje, magomeni yenyewe haina hata two star hotel hua nashangaa hawa kakazetu sijui akili walizieka wapi.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Equivalent to Magomeni.
kajambe mbele, we unajua westlands ni sawa na hapa kwetu brooklyns? USA, magomeni mnayopika chakula barabarani?
watu wanakunya kwenye mifuko na kutupa barabarani?
wauza ghahawa wanachemsha kahawa kwa maji ya AC?

machinga muuza karanga anakwenda chooni kunya na anaingia na karanga zake na akitoka anakuuzia?
maji ya viroba aka kandoro yanatoka bonde la mkwajuni?

hebu usifananishe ka nchi kasiko jielewa na kenya.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah ! Umesema ukweli mtupu, chakula chapikiwa barabarani ,kahawa wanatumia maji ya AC kupika .

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Wakenya wamepanic kwelikweli
Hahahahah kumbe na nyie mna panic hivoo, yaan Magomeni tuu inawatia jambajamba kiasi hiko

Bro tuusan umewaweza hawa majirani, maana hujaenda mbali umewapa Magomeni wanaweweseka hivi, je ungewapa Kijitonyama au Morocco si ndo uzi ungegeuka NBO vs Dar tena!!
Hahahahah

Wakenya eeh, tunaheshimu Westlands bana ndo maana tuusan akasema mbona ni ya kawaida tuu kama Magomeni Hahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha....maajabu ya musa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…