The White Room Torture:Mateso ya Kikatili bila kuguswa!

The White Room Torture:Mateso ya Kikatili bila kuguswa!

Nimeangalia hiyo picha tu nimehisi macho yananiuma je wanaoishi humo...!
Inasikitisha.

Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
 
Mbona chumba kama hoteli ya kifahari tu....tena wali huo unaonekana umepikwa vizuri..
Bora huko kuliko segerea

Sent using Jamii Forums mobile app
Segerea ni mateso ya mwili tu, ila hapa Hawana haja na mwili wako bali akili yako. Wanakutesa kisaikolojia, wanaiumiza akili yako ukitoka hapo unaendelea kuwa kifungoni maishani mwako kwa sababu akili yako haiwezi kurudi kama kawaida kirahisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanakuumiza bila kukugusa

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona hapa watu wanasema bora huko kuliko segerea... Akili ndio kila kitu, upo hivyo ulivyo kutokana na akili zako na hizo akili zako zimeundwa na experience yako toka kuzaliwa kwako. Sasa fikiria leo akili zako zinadirishwe, yaani usiwe wewe, uwe chizi, Daaah ni mateso sana

Haya mateso ni mabaya ni bora kupigwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom