iyo picha wametengeneza tu. hakuna mwanadamu mwenye confidence ya kusimama na kufanya kitu kama hicho mbele ya Ahmadinejad...si unaona hata ahmd mwenyewe hajapay attention kwa uyo mwanamke..hakuwepo...polisi wa usalama walikuwa wapi ili kusafisha njia wakati gari ya rais inakuja?hii ni kupoteza muda kujadili kitu ambacho hakipo na hakitakuja kutokea duniani. ikitokea hivyo, atashuka mwenyewe kwenye gari, hatahitaji msaada wa polisi, na atamshugulikia fasta.