The world is a bit chaotic, but here’s some cute baby animals

Hivi kwa nini huwa wanaitwa sea lion
Simba wa baharini (sea lion) jina hili kwa sababu madume wengi wana manyoya tofauti na majike, kama vile simba dume wanaoishi nchi kavu. Simba dume pia hunguruma ili kuwalinda majike katika prides zao, pia masuala ya kuteka ukoo na kuiba majike
 
Niliwaona lia kwenye series inaitwa siren
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…