flyn ryder
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 656
- 86
TEKU kitakuja kutukomboa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe jamaa unaonekana udsm ulikua una patamani mno lakini hukupata bahati ya kuwa pale...huwezi kufananisha chuo cha harvarf kilicho anzishwa 1636 na udsm kilichoanzishwa 1961...mambo yanabadilika,hivi ni nani alitegemea maktaba ya vitabu 37 ingeweza huwa kitu cha maana kama harvard...ipo siku udsm kitakua levo za harvard,massachessutes,cambridge nk...miaka ya 80 na 90 udsm hata top 50 africa haikuwepo lakini leo udsm ipo levo za akina zulu natal,cape town,pretoria,south africa nk..so acha kejeli
na wanaolinganisha udsm na udom ya juzi je unasemaje? halafu udsm haijafika levo ya vyuo vya afrika kusini ulivyotaja apo, udsm inazidi vyuo vya kata vya apa bongo tu.
Acha ligi za kitoto moes,mwaka 2012 udsm ilikua cha 11 wakati vyuo kumi vyote vya juu vilikua vya madiba...lakini mwaka 2013 kimepanda hadi kuwa cha tatu kwa ubora,tena vyuo vi3 vya kizauzi vimetoka top 10...
Kabla ya kutoa hukum kwa UDSM mngejiuliza mbona vyuo vya Afrika havipo?
Nimeamini hawa wa vyuo vya KATA ni wavivu wa kufikiria, yani hata hii topic wamekurupuka tu kuichangia. UDSM ITABAKI KUWA JUU DAIMA, USIJENGE CHUKI KISA ULIKOSA ADMISSION UDSM.
moes tatizo hisia za ubishi unabishana mpaka na mitandao...!! 4icu ni shirika la UK linalo-deal na ranking of universities,..wana fanya tafiti za kutosha na kutuletea vitu vya uhakika lakini hutaki kuamini...imerank udsm nafasi ya 4 mbele ya baadhi ya wasauzi,waalgeria,wamisri,waghana tena hao mskerere na nairobi ndo hata usiseme,kama sijakosea hao mskerere wapo nafas ya 11 na nairo nafasi ya 21wala sio ligi mkuu usipanic,nadhani umeweka wazi we mwenyewe kuwa sio fair kuilinganisha udsm(1961)na havard(1636),ni mi nimekuuliza ni fair kuilinganisha udsma na udom(2007)? naona umekuwa kimya.
sasa ya nini proffesor mzima au phd doctor wa udsms atumie mda mwingi kuiponda udom badala ya kufundisha na kufanya tafiti,matokeo yake wanabaki kuwandanya wanfunzi wao kuwa kwa propagada za kipuuzi eti sijui udom itakufa miaka si mingi.
yote kwa yote udsm kwa tz ipo juu ya vyuo vyote apa tz,lakini usithubuthu kuiringanisha udsm na vyuo vya s.afrika, misri,algeriana ata makerere univers na nairobi universty udsm havafika kabisa.
watanzania hatujawa serious kwenye elimu,eti kuanzia uhuru chuo kikubwa cha serikali lakini ukikiona inasikitisha sana,yaani tumeshindwa kabisa kuboresha chuo kimoja kiwe cha kuvutia na kutoa elimu bora.
tatizo watz maneno mengi vitendo hakuna,na kutaka sifa za kijinga.
Naamin chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa kasi waliyokuja nayo miaka5 baadaye kitaingia kwenye orodha hii.
Sio jipen moyo..... Kabla hujaizungumzia Udsm zungumzia Africa vimeingia vyuo vingapi!??! Na baada ya hapo njoo kwa swali ulouliza. Nashukuru kuna mdau kakuelewesha chuo chenye nusu karne unalinganisha na chuo chenye karne 5,,,????! Ni sawa na kulinganisha ukumbwa wa goroli na mpira.
Mkuu umeongea smart sana lakini kwanini mnapondaga vyuo binafsi vilivyoanzishwa miaka ya mwishoni mwa 90? Kama SAUT na Tumaini mkilinganisha na UDSM ambacho ni kikongwe hapa TZ?
Kumbe mna jua with time chuo huwa kina improve qualities na standards? Watanzania sisi ni mambulula sana yaaani!
Badala na kushukuru kuwa watanzania tunajitahidi kadiri ya uwezo wetu kupanua wa elimu wengine wao kazi kuponda tu.
moes tatizo hisia za ubishi unabishana mpaka na mitandao...!! 4icu ni shirika la UK linalo-deal na ranking of universities,..wana fanya tafiti za kutosha na kutuletea vitu vya uhakika lakini hutaki kuamini...imerank udsm nafasi ya 4 mbele ya baadhi ya wasauzi,waalgeria,wamisri,waghana tena hao mskerere na nairobi ndo hata usiseme,kama sijakosea hao mskerere wapo nafas ya 11 na nairo nafasi ya 21
Ya nini 4ICU iibebe udsm,kwani maprofesa walipiga deal ama,
Kama 4ICU wanatoa upendeleo basi ni kivipi hawakuvinyanyua vyuo vya UK na kuvifanya top ranked world wise mpaka wakawaweka narekani mara 37 katika top 50 na mara 8 top 10
Jaribu kukubali kuwa udsm inatisha africa na ipo siku itaku #1 ...
sasa kama unaamini udsm ipo siku itakuwa 1 afrika kwa nini usiamini pia ipo siku udom au mzumbe itaipiku udsm apa bongo?
kama kungekuwa na kampuni moja tu ya kuranking inayokubalika na mataifa yote ningeziamini hizo ranking,tatizo makampuni ya ranking yamekuwa mengi sana , lingine litakwambia udsm ni ya 4,lingine litasema ni ya 17, lingine ni ya 39, sasa kwa nini uliamini linalosema udsm ya 4, na hutaki kuamini ayo mengine.
halafu eti kigezo chako kuamini 4ICU,ni kuweka vyuo vingi vya kimarekani kwenye top 50 na top 10,apo umepotoka mkuu unashindwa kubaini treak za bussiness,elimu ni biashara usipotangaza shule yako aya university yako imekula kwako.
kuna vyuo vinatenga mabilion ya fedha kutangaza na kuaminisha uma kuwa vinatoa elimu bora ata kama sio kweli,na wamarekani ni wazuri kwa hili.