Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Ajira zimekuwa adimu sana hata serikali ikisema itengeneze hizo ajira milion 8 ilizoahidi sidhani kama zitatosha kumaliza uhitaji wa ajira lililopo nchini, na mbaya zaidi graduates wanaongezeka kila mwaka. Ni vizuri kutazama plan B na uzuri humu watu wana share experience mbalimbali na njia zao wanazozitumia kujaribu songa.
Mimi nashauri kwa watakaoweza kama waliojifunza chuo wanaona hayawezi kuwapa ajira wasahau na wajifunze mambo mapya.
Mfano kuna skills ambazo zina demand kubwa sana. Nadhani wengi mshasikia kuhusu shopify! Hii ni platform ambayo inaruhusu wafanyabiasha kufungua duka mtandaoni kuweka bidhaa zao na kuuza.
Wamiliki wengi wa haya maduka ni watu wa huko Marekani na Ulaya. Wengi wanapenda wawe na mtu atakaye manage hilo duka kwa kufuatilia orders, kuzimanage na kuhakikisha waliweka order mizigo yao imetumwa, na wenye matatizo wanakuwa refunded. Hii ni kitu mtu anaweza kujifunza akafanya na akalipwa kwa masaa kwa huduma atakayotoa.
Angle nyingine ambayo naona ni nzuri zaidi na ina demand kubwa saana, ni ile ya ku upload picha za bidhaa yani products, collection na kuset inventory. Hapa sasa ndipo demand ilipo sana sana. Ukimaster hii kitu, maana unakuta inabidi Upload picha zaidi ya 1000 uziset in terms of products, halafu collection, uset invetory mtu akinunua ijue imebaki product za namna hiyo ngapi na zikiisha iiondoe ile product kwenye duka ili watu wasiendelee kuweka order.
Ni ngumu kidogo kwa watu wenye vichwa vigumu ila kiuhalisia ni rahisi. Unaweza jifunza hii skill na ukamanage hata maduka 15 ya clients mbalimbali lakini hapa utakuwa ushakuwa level ya juu. Ila hata ukiweza kumanage maduka matatu. Hii kazi utaifanya once in a while kwa kila duka, otherwise utakuta mara chache unaweka product labda 2 mpya kila mwezi na client unakuta anakulipa labda dollar 200-300 kwa mwezi ukiwa na client 2 hukosi 400 mpaka 600 kwa mwezi isiyokatwa kodi na JMT.
Yapo mengi ya kujifunza. Learn new skills kila day. The internet is full of potential materials and shit.