Hatujiamini kama tunaweza fanya. Hata kuupload pic na kutengeneza collection watu wanaona kama haiwezekani. Week tatu nyumba nilikuwa na kazi ya mambo ya data za credit suisse ni one of the biggest investment companies in Switzerland.
Jambo moja ambalo watu wanabidi wajue kwenye freelancing unaweza kuwa unafanya kazi na kampuni flani au kazi ya mtu flani mashuhuri bila wewe hata kuwahi kuzungumza naye. Unaweza kukuta yeye kaajili mtu afanye kazi hiyo na huyo mtu kaajili wengine wafanye. And from the way it is nadhani ndivyo ilivyo. Kote huko nakuwa unakuta una deal with one person tu, hujui hata ni nani.
WELL Summit - WELL Summit Hawa ni wawtu wanafanya mambo makubwa katika mambo ya afya. Nimekuwa pia nikifanya kazi za hawa watu. Tena hawa ni mostly on daily basis. Huo ndiyo uzuri wa hii kitu unajifunza na kufanya vitu indirect na watu wengine. Na hawa ninafanya nao indirect kwasababu waliyempa kazi naye ameigawa gawa vipande kutokana na skills za mtu aktengeneza tam yake online.