Hahahahaha. Naunga mkono hoja.Nashauri benki kuu BOT wachapishe noti ya 8000 halafu wauweke huu mzigo kwenye hio noti. Ili Kuwakilisha shape namba nane zilizopo nchini Tanzania.
Ni mawazo tu.
Please, be patient, you don't understand what we went through!Baharia mtoto a nashika screen na kusema "tako lake" kitu pekee alichoona ni tako.
Jiamini mama..hatuwezi dhani hivyoHuyu dada siku akiamka hana tako atakuwa chizi.
Najua mtasema nina wivu lakini sina wivu.
Tena kama mimi nilikatwa bila ganzi.. ni kakisu tu kakukunjua na sikutoa chozi ... tako mhimu [emoji123][emoji123][emoji123]Please, be patient, you don't understand what we went through! View attachment 1395142
Don't make a promise you can't fulfill...
Huu wivu sasa. Hahaha. BTW hujui kirefu cha tabia ni Tako Bidhaa Adimu?Yaan huyu kwa umbo lake..
Akifikisha miaka 40 humtamani,,
Nyama uzembe tu hizo...ila hana lolote lile...
Mwanamke tabia sio body,
Unaweza kuwa na body kubwa na shape lakin akili zeroo...
Tena ni model!!
Ngoja tusubir,time will tell..
Mkuu si wivu,,Huu wivu sasa. Hahaha. BTW hujui kirefu cha tabia ni Tako Bidhaa Adimu?
kila mtu ana kipaumbele chake mwingine hizo tabia sio muhimu kwani anahitaji kuburudika tu.Yaan huyu kwa umbo lake..
Akifikisha miaka 40 humtamani,,
Nyama uzembe tu hizo...ila hana lolote lile...
Mwanamke tabia sio body,
Unaweza kuwa na body kubwa na shape lakin akili zeroo...
Tena ni model!!
Ngoja tusubir,time will tell..
Unamaanisha nini?Huyu dada siku akiamka hana tako atakuwa chizi.
Najua mtasema nina wivu lakini sina wivu.