The young Tanzanian lady Janeikunda Evarist Rimoy aka Sanchi

Huyo hana matako, Bali mapaja yamembeba, aende Kyela/Tukuyu akakutane na kwenye matako hadi yeye atajificha, kuna wasichana kule sura unakuta siyo nzuri lakini akipita lazima ugeuke,
 
usiseme kilo tuu, angalia na urefu wako, unaweza ukawa na kilo 90 na ukawa mwembamba it depends on your Body mass index
I agree but still she has big thighs, big legs and big buttocks is that what you are looking for in a women? Umbo lake Ni Kubwa Sana....Mimi nakilo 75 ila Sina mapaja mkubwa Kama hayo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata wanaume tupo wengi tu tusiopenda hiyo extreme figure... Huyo haoleki na hata akiwa mke wangu nitakuwa naona karaha kuongozana naye barabarani. Miguu kama mtoto wa tembo!
Jamani unataka kuniambia binti yangu yuko hivyo haileki.Msitutishe na yuko chuo kikuu anasema na yuko vizuri .Sio wote wanatumia miili yao ni malezi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…