The young Tanzanian lady Janeikunda Evarist Rimoy aka Sanchi

So kama binti yako anabinuliwa huko chuo unataka akwambie? Wewe omba tu mungu usijue anayoyafanya huko na wala asikuletee mjukuu aliekataliwa na baba yakem

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru kwa yote,nimesema hivyo kwa kuwa ninawajua binamu zake pia wako hivyo na wamesema wanafanya kazi na wako vizuri tu.Ndio maana sidhani kama unahilo umbo ndio itakuwa hivyo. Nikipata mtoto ni Baraka ndugu yangu
 
Yaan huyu kwa umbo lake..
Akifikisha miaka 40 humtamani,,

Nyama uzembe tu hizo...ila hana lolote lile...

Mwanamke tabia sio body,
Unaweza kuwa na body kubwa na shape lakin akili zeroo...

Tena ni model!!

Ngoja tusubir,time will tell..

Hapo kwenye tabia tatizo haionekani.

Unaweza kua na mchumba ana sura na body mbaya ila tabia imenyooka na nzuri.

Ukamuoa.

Baada ya mwaka katika ndoa anaanza kuonesha tabia nyingine mbaya kumbe ile ilikua ya kukuvuta tu.

Mzee baba unakua umekula hasara double.

Bora kujilipua kimoja.
 
Yaan huyu kwa umbo lake..
Akifikisha miaka 40 humtamani,,
Nyama uzembe tu hizo...ila hana lolote lile...
Mwanamke tabia sio body,
Unaweza kuwa na body kubwa na shape lakin akili zeroo...
Tena ni model!!
Ngoja tusubir,time will tell..
Mkuu Mr. BIg, naunga mkono hoja, ila sio akili tuu, bodies nyingine ni makasha tuu ya kustarehesha macho, lakini kwenye yale mengine, unakuta ni inverse proportion, it's the other way round!. Sijui ni kwanini!. Kwa sisi tulio utumia ujana wetu vizuri, mambo kama haya tumeyapitia, kuna milima mirefu hata zaidi ya huu tumepanda na hakuna kitu cha ziada!.

Kwavile mambo mengine it's an atitude of mind, macho yakiona na mind ikikuambia hapo utarina asali, ukirina, ni kweli utapata ladha ya asali na utafurahia asali, hadi utakapo kutana na asali kweli ndipo utagundua kuna miili ni maumbo tuu na hakuna kitu, na kuna miili inaonekana kama hakuna kitu, kumbe ndio everything!.

Wajameni, baada ya vitisho vya Corona wiki nzima sio mbaya kupata relaxation za kihivi over the weekends.

P
 
Duh...!.
Watu mnazama deep!.
P
 
Kwa kwel mwanamke bila chura hamna kitu, hvi vimbau mbau ndo vina tabia korofi sana vikiwa ndani, huu msemo wa mwanamke tabia huwa tunajidanganya tuu , wanawake wote ni Sawa , cha msingi ni kuchagua pumziko la moyo
 
Huyu demu sura mbaya ,tako lipo, lakini mguu mbayaaaaaaaa yaani ukiangalia kiunoni hadi kwenye unyayo utadhani kavimba miguu. Uwiano haupo kabisa wa mwili wake.
 
Nikimkumbuka Agnessi Masogange na zile bwebwe zake za kujidai na kutulingishia la lile tako lake, na huyu Sanchi, basi nakumbuka ule msemo wa "Sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake siku tutarejea"..basi najipiga kifua na kusema mimi ni mshindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…