Wana jf naomba mnikokotolee hii hesabu inayoongelewa mjengoni kwamba isipo kidhi thelusi 2 au 3 katiba mpya haitapatikana. Je wataalam wa hisabati hebu nisaidieni hapa hii hesabu iko vipi? Ili nijue kuwa ikiwa hivi basi itakuwa hivi..
Una miaka mingapi? na uko darasa na ngapi? Yaani huwezi kukokotoa 2/3 ya namba (eg. 2/3 x 601)? Kweli Mulugo ameharibu elimu ya nchi hii?
afadhali umejitokeza hata wewe angalau.. ila bado sijaelewa hiyo hesabu ukweli siijui hata shule sijawahi ingia darasa hata moja
Mkuu kama unayosema ni kweli na hunipotezei mda wangu basi nitajitahidi kukuelewesha. Kheri WAJINGA wanaoeleweshwa wakashangaa, kuliko WAPUMBAVU wanaoshupaa (Prof. Kabudi 2014).
Mbili ya tatu/two third = 2/3 (yaani mbili kugawa kwa tatu).
Mbili ya tatu ya 6 inakokotolewa 2/3*6 = 4 (yaani mbili ugawe kwa tatu mara sita jibu ni 4)
2/3 * 9 = 6, 2/3 * 18 = 12, 2/3* 30 = 20
Ukitaka kujua 2/3 ya wabunge wa BMK ni 2/3* 601 = 400.7 Kwakuwa hakuna mtu 0.7, hivyo 2/3 ya wajumbe wa BMK ni 401.
Ukitaka kujua 2/3 ya wajumbe wa BMK kutoka Tanganyika unachukua jumla ya wajumbe wote wa BMK wa Tanganyika unazidisha na 2/3. Hivyo hivyo kwa wajumbe wa BMK kutoka Zanzibar.
NOTE: I'm neither a teacher nor a mathematician
Una miaka mingapi? na uko darasa na ngapi? Yaani huwezi kukokotoa 2/3 ya namba (eg. 2/3 x 601)? Kweli Mulugo ameharibu elimu ya nchi hii?
nor a politician
Una miaka mingapi? na uko darasa na ngapi? Yaani huwezi kukokotoa 2/3 ya namba (eg. 2/3 x 601)? Kweli Mulugo ameharibu elimu ya nchi hii?
mkuu kama unayosema ni kweli na hunipotezei mda wangu basi nitajitahidi kukuelewesha. Kheri wajinga wanaoeleweshwa wakashangaa, kuliko wapumbavu wanaoshupaa (prof. Kabudi 2014).
Mbili ya tatu/two third = 2/3 (yaani mbili kugawa kwa tatu).
Mbili ya tatu ya 6 inakokotolewa 2/3*6 = 4 (yaani mbili ugawe kwa tatu mara sita jibu ni 4)
2/3 * 9 = 6, 2/3 * 18 = 12, 2/3* 30 = 20
ukitaka kujua 2/3 ya wabunge wa bmk ni 2/3* 601 = 400.7 kwakuwa hakuna mtu 0.7, hivyo 2/3 ya wajumbe wa bmk ni 401.
Ukitaka kujua 2/3 ya wajumbe wa bmk kutoka tanganyika unachukua jumla ya wajumbe wote wa bmk wa tanganyika unazidisha na 2/3. Hivyo hivyo kwa wajumbe wa bmk kutoka zanzibar.
Note: I'm neither a teacher nor a mathematician