Theluthi mbili au tatu zinakuwaje?

Theluthi mbili au tatu zinakuwaje?

MWALLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2006
Posts
16,952
Reaction score
10,500
Wana jf naomba mnikokotolee hii hesabu inayoongelewa mjengoni kwamba isipo kidhi thelusi 2 au 3 katiba mpya haitapatikana. Je wataalam wa hisabati hebu nisaidieni hapa hii hesabu iko vipi? Ili nijue kuwa ikiwa hivi basi itakuwa hivi..
 
Una miaka mingapi? na uko darasa na ngapi? Yaani huwezi kukokotoa 2/3 ya namba (eg. 2/3 x 601)? Kweli Mulugo ameharibu elimu ya nchi hii?
 
umeonaeeee we acha me kwani nimesoma hiyo shuleee?
 
Una miaka mingapi? na uko darasa na ngapi? Yaani huwezi kukokotoa 2/3 ya namba (eg. 2/3 x 601)? Kweli Mulugo ameharibu elimu ya nchi hii?

afadhali umejitokeza hata wewe angalau.. ila bado sijaelewa hiyo hesabu ukweli siijui hata shule sijawahi ingia darasa hata moja
 
Bunge la katiba Lina wajumbe 601 Kama sikosei mkuu, 2/3 of 601 ni 400 members, nafikiri umeelewa.
 
afadhali umejitokeza hata wewe angalau.. ila bado sijaelewa hiyo hesabu ukweli siijui hata shule sijawahi ingia darasa hata moja

Mkuu kama unayosema ni kweli na hunipotezei mda wangu basi nitajitahidi kukuelewesha. Kheri WAJINGA wanaoeleweshwa wakashangaa, kuliko WAPUMBAVU wanaoshupaa (Prof. Kabudi 2014).

Mbili ya tatu/two third = 2/3 (yaani mbili kugawa kwa tatu).
Mbili ya tatu ya 6 inakokotolewa 2/3*6 = 4 (yaani mbili ugawe kwa tatu mara sita jibu ni 4)
2/3 * 9 = 6, 2/3 * 18 = 12, 2/3* 30 = 20

Ukitaka kujua 2/3 ya wabunge wa BMK ni 2/3* 601 = 400.7 Kwakuwa hakuna mtu 0.7, hivyo 2/3 ya wajumbe wa BMK ni 401.

Ukitaka kujua 2/3 ya wajumbe wa BMK kutoka Tanganyika unachukua jumla ya wajumbe wote wa BMK wa Tanganyika unazidisha na 2/3. Hivyo hivyo kwa wajumbe wa BMK kutoka Zanzibar.

NOTE: I'm neither a teacher nor a mathematician
 
Yaani sheria mnaionaje. 2/3 ni ya wajumbe walio piga kura. UKAWA imekula kwenu.
 
Mkuu kama unayosema ni kweli na hunipotezei mda wangu basi nitajitahidi kukuelewesha. Kheri WAJINGA wanaoeleweshwa wakashangaa, kuliko WAPUMBAVU wanaoshupaa (Prof. Kabudi 2014).

Mbili ya tatu/two third = 2/3 (yaani mbili kugawa kwa tatu).
Mbili ya tatu ya 6 inakokotolewa 2/3*6 = 4 (yaani mbili ugawe kwa tatu mara sita jibu ni 4)
2/3 * 9 = 6, 2/3 * 18 = 12, 2/3* 30 = 20

Ukitaka kujua 2/3 ya wabunge wa BMK ni 2/3* 601 = 400.7 Kwakuwa hakuna mtu 0.7, hivyo 2/3 ya wajumbe wa BMK ni 401.

Ukitaka kujua 2/3 ya wajumbe wa BMK kutoka Tanganyika unachukua jumla ya wajumbe wote wa BMK wa Tanganyika unazidisha na 2/3. Hivyo hivyo kwa wajumbe wa BMK kutoka Zanzibar.

NOTE: I'm neither a teacher nor a mathematician

nor a politician
 
Una miaka mingapi? na uko darasa na ngapi? Yaani huwezi kukokotoa 2/3 ya namba (eg. 2/3 x 601)? Kweli Mulugo ameharibu elimu ya nchi hii?

Kutokujua ni dhambi jamani!! Si ndo maana ameuliza ili ajue. Me menyewe hata chijui!!
 
Una miaka mingapi? na uko darasa na ngapi? Yaani huwezi kukokotoa 2/3 ya namba (eg. 2/3 x 601)? Kweli Mulugo ameharibu elimu ya nchi hii?

Hesabu Mkuu! Ni janga la Taifa, tena anasema theluthi 2 au 3! Hivi tuna theluthi 3 kweli? Baba Mwana.Hasha unaipeleka wapi hii nchi? Na ukute huyu naye kasoma mpaka versity! Kama mwandishi Wa habari mmoja naye niliona kaandika theluthi 2/3. Hivi ukiandika neno theluthi 2 kuna haja tena ya kuweka 3 pale chini?
 
mkuu kama unayosema ni kweli na hunipotezei mda wangu basi nitajitahidi kukuelewesha. Kheri wajinga wanaoeleweshwa wakashangaa, kuliko wapumbavu wanaoshupaa (prof. Kabudi 2014).

Mbili ya tatu/two third = 2/3 (yaani mbili kugawa kwa tatu).
Mbili ya tatu ya 6 inakokotolewa 2/3*6 = 4 (yaani mbili ugawe kwa tatu mara sita jibu ni 4)
2/3 * 9 = 6, 2/3 * 18 = 12, 2/3* 30 = 20

ukitaka kujua 2/3 ya wabunge wa bmk ni 2/3* 601 = 400.7 kwakuwa hakuna mtu 0.7, hivyo 2/3 ya wajumbe wa bmk ni 401.

Ukitaka kujua 2/3 ya wajumbe wa bmk kutoka tanganyika unachukua jumla ya wajumbe wote wa bmk wa tanganyika unazidisha na 2/3. Hivyo hivyo kwa wajumbe wa bmk kutoka zanzibar.

Note: I'm neither a teacher nor a mathematician

heri mjinga hujitambua anapoeleweshwa kuliko mpumbavu hajui na hataki kujijua kuwa hajui
 
Back
Top Bottom