Themason: Niulize Chochote Kuhusu mimi nami Nitakujibu Kiufasaha

Themason: Niulize Chochote Kuhusu mimi nami Nitakujibu Kiufasaha

TheMason
Wewe ni stone mason brick mason?
 
Mkuu The mason.
Hapa jf kuna WAPUMBAVU ambao wao kila swali ukiwauliza wanajibu HAPANA/SIJUI.

Je wewe ni mmoja wa wapumbavu hao..?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kati ya Porsche 918 na Lamborghini centenario na buggati chiron na mclaren p1 na Ferrari laferrari ungechukua ipi?? Na kwanini?
By the way Ningechagua Buggati japo ninayopendelea Buggati Veyron kwenye List yako haipo
 
Back
Top Bottom