Kati ya Porsche 918 na Lamborghini centenario na buggati chiron na mclaren p1 na Ferrari laferrari ungechukua ipi?? Na kwanini?Chochote unachojisikia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu The mason.
Hapa jf kuna WAPUMBAVU ambao wao kila swali ukiwauliza wanajibu HAPANA/SIJUI.
Je wewe ni mmoja wa wapumbavu hao..?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kati ya Porsche 918 na Lamborghini centenario na buggati chiron na mclaren p1 na Ferrari laferrari ungechukua ipi?? Na kwanini?