Theranos - Utapeli na Uongo ambao hata wasomi wakubwa na wanasanyansi waliuamini

Nafaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
12,154
Reaction score
31,246
theranos.jpg

Mtu yoyote aliyepata kukutana na mwanadada Elizabeth Holmes, atagundua kwamba uwa hapepesi macho mara kwa mara. Mwaka 2016 alipoulizwa, ni kitu gani angependa kuona kikitokea kufikia mwaka 2025. Homes alijibu, "Watu wengi hawakumbana na changamoto ya kuwaaga wapendwa wao." Alimaanisha kwamba watu watakuwa hawafi ovyo kutokana na magonjwa.

Akiwa na umri wa mika 19 tu, Elizabeth, aliacha masomo katika chuo cha Standford. Alianza kukusanya pesa kutoka kwa wawekezaji na watu mbalimbali kama ndugu na majirani, akafanikiwa kupata kiasi cha $900 milion, ambazo ni zaidi ya tilion mbili za Kitanzania.

Hiyo pesa, Elizabeth aliitumia kuanzisha kampuni ya Teknolojia mwaka 2003 yenye jina la Theranos. Ikiwa katika ubora wake kampuni ya Theranos ilikadiliwa kuwa na thamani ya $10 billion (Zaidi ya tilion 23 za kitanzania, nusu budget yetu). Nusu ya thamani ya kampuni aliimiliki Elizabeth mwenyewe.

Elizabeth alidai ya kwamba kampuni yake ilikuwa imeunda teknolojia ya kufanya vipimo vya damu zaidi ya 200 ndani ya dakika chache tu. Kilichohitajika ni kuchukua damu kidogo tu kwenye ncha ya kidole.

Walgreens, ni kati ya maduka makubwa ya dawa za binadamu USA waliweka machine za Theranos katika maduka yao 40. Baadae ilikuja kugundulika kuwa vipimo havikuwa sahihi majibu ya vipimo mara nyingi yalikuwa siyo sawa. hata majibu ya vipimo yaliyokuwa sawa kumbe hayakuwa yakifanyiwa vipimo katika machine za theranos, bali kwenye mahabara kwa kutumia njia za kawaida.

Elizabeth alikuwa anampenda sana Steve Jobs, hadi akaiga jinsi ya kuvaa kutoka kwa Steve. Hata picha niliyoweka kavaa kama steve, nguo nyeuse na tshirt yenye kola ndefu. Hata kufanya projects kwa siri kama apple, na kuwalazimisha wafanyakazi kusaini mikataba ya siri kama apple. Hadi alikuwa akijaribu kuzungumza kama steve. Mtu yeyote aliyethubutu kuikosoa kampuni ama kuisema vibaya, alitumia nguvu ya pesa na wanasheria wake kuhakikisha anamfunza adadu.

Mwandishi mmoja wa jarida la Wall Street alijaribu kuonyesha utapeli wa Theranos, lakini Elizabeth alitua wanasheria wake wakamfungulia kesi ya madai hadi ikabidi auze nyumba kulipa fidia.

Lakini ukweli ilikuwa ni lazima ujulikane, kufikia mwaka 2017, Theranos ilikuwa imeshapoteza zaidi ya $1 billion kulipa wanasheria katika kesi nyingi amabazo zilikuwa zikifunguliwa dhidi yake. Mwaka 2018, Elizabeth ambaye ndiye alikuwa CEO na msaidizi wake Sunny Balwani ambaye alikuwa msaidizi wake na inasemekana mpenzi wake waifunguliwa mashitaka ya kufanya utapeli.

Jambo la kustaajabisha, ni kwamba ilikuwaje vyombo vya dola, madaktari bingwa, wanasayansi wote akaweza kuwaongopea kwa muda mrefu. Elizabeth aliweza hadi kumwongopea Ruper Murdoch nguli wa vyombo vya habari na mwanzilishi wa kampuni kubwa ya teknolojia ya Oracle. Elizabeth hakuishia hapo, alikuwa kamwajili Channing Robertson mkuu wa kitendo cha Sayansi katika chuo cha Stanford na alimwajili kama mshauri wake.

Wakurugenzi wa kampuni yake aliwaweka watu wazito kama Henry Kessinger, huku akihakikisha anakuwa na marafiki ngazi za juu kama Bill Clinton.

Leo hii kampuni haina thamani yoyote, na Elizabeth yupo hana pesa, japo anaonekana mara kadhaa akiwa kwenye mitoko na rafiki zake. Inasemekana kuwa kaanzisha kampuni nyingine anatafuta wawekezaji.
 
Unaweza kukuta hapa bongo ndo kipimo maalumu

Tulivo nyuma watu weusi na wapenda vitu vya bei cheee.

We wamekataza diproson zinaleta madhara ya ngozi sasa yule mtengenezaji kwavile gala lishajaa na hawezi kuchoma apate hasara atauza kwa bei cheeee ili viishe fasta.

Ndo navohisi huenda bongo ndo kipimo rasmi
 
Baada ya kushtakiwa kwa utapeli kesi ya Elizabeth na Bwana wake Balwani iliishaje?
 
Kesi yake haijaanza kusikilizwa itaanza kusikilizwa mwezi wa tatu mwaka ujao, akipatikana na hatia anaweza kufungwa mpaka miaka 20. Labolatory za kampuni na ofisi zilifungwa.
 
Ndio huyu alisema,anaweza kuchukumbua kumbukumbu za binadamu (to the early years form now) na kusanikisha kwa vifaa na ukajua mawazo yako ulivyokuwa mtoto na kila hatua ya kuishi kwa kuchukua damu tu.

Ila sijajua bado ilikuaje watu wote walimuamin hadi wasomi...

NB: Akiongea alikuwa ana base sana kama dume....
 
Huyo ni bwana Elon Musk CEO wa tesla motors, Space X, na Hyperloop. Jamaa ni mbaya sana ila inasemekana pamoja na kuwa mwanasayansi hatari sana ila pia ni mkali wa Biology maana kamtafuna mke wa John Depp yule almaarufu kama Captain Jack Sparrow
 
Back
Top Bottom