RED BELT
Member
- Oct 24, 2022
- 61
- 118
Sasa kwanini documents zote muhimu za serikali zinaandikwa Kwa kingereza?Nenda uingereza ukaandike hizo takataka, hapa ni Tanzania, lugha yetu ya taifa ni kiswahili.
Documents za Bunge
Documents za wizara
Documents za TRA
Documents za bandarini
Na ukiomba kazi idara zote nyeti za serikali interview ni Kwa kingereza
Kwa Nini wasitumie kiswahili lugha ya wazalendo kama wewe?
Hivi unajua kama mwanao hajui kingereza anakuwa ahajiriki katika idara Serikali Yani kama ajira za ofisi za Bunge, TRA , Bandarini na sehemu zingine huko katika kampuni binafsi ndio kabisa hatii mguu
Kwa lugha nyepesi wewe ni mjinga uliyepumbazwa na CCM Ili waendelee kukutawala wewe na vizazi vyako
Wewe unazani Mwinyi angempeleka mwamawe shule za kayumba Ili ajue kiswahili Leo hii angekuwa raisi?