There is a DEVIL in our beautiful country Tanzania. All Tanzanians wemust unite and fight this devil.

There is a DEVIL in our beautiful country Tanzania. All Tanzanians wemust unite and fight this devil.

Tochuku

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
5,322
Reaction score
8,412
Watanzania tuungane kwa pamoja tupigane na hiki kikundi Cha mashetani.

Kama mtu mkubwa kama huyu anajiuzulu Ina mana imefika pabaya na too much.

Too much arrogance
Too much innocent blood shed
Too much theft

It is time my fellow tanzanians
 
Wakati mpango anajiuzulu ulifanya nini? Lowasa? Au ukubwa ni kwa nchimbi?

Acha kuzua taharuki..endelea kuchangia tonetone!
 
Watanzania tuungane kwa pamoja tupigane na hiki kikundi Cha mashetani.

Kama mtu mkubwa kama huyu anajiuzulu Ina mana imefika pabaya na too much.

Too much arrogance
Too much innocent blood shed
Too much theft

It is time my fellow tanzanians
Time will tell
 
DAWA YA KUMALIZA HII NI .MAANDAMANO YA KUWATOA HAWA VIRUSI WA ZANZIBAR WANAOTUHARIBIA NCH YETU.MAANDAMANO KAMA YALE YA MO29 YANAHITAJIKA NA KUYAONGEZEA NGUVU ZAIDI KULIKO ILIVYOKUWA AWALI
 
Ndani ya wiki Moja...Mpishi mkuu WA ofisi ya makamu wa rais anafariki, na bosi wake anajiuzulu(aidha kulazimishwa ama kwa hiari yake)
 
Back
Top Bottom