Habari wanajamvi!
My concern leo ni vikwazo vilivotawala vijana wa sasa eti mpaka wawe na Masters Degree ndio watoke kimaisha, matokeo yake wanatumia muda mwingi vyuoni badala ya kupractice kile kidogo walichosoma kwenye Degree ya kwanza ambapo napo nakumbuka ni topics 3 tu zinazo apply katika maisha yangu ya sasa nazo ni INVESTMENT PROJECTS, INFORMANTION SYSTEMS, STRATEGIC PLANNING, basi sasa ina maana gani kuendelea kupoteza muda vyuoni kwa miaka 3 - 4, badala ya kuingia mtaani na kufanya practical
Elimu ni kama chakula unakula na kukifanyia kazi chakula sio kulala!, Wazazi wetu na wazungu wametupachika mentality mbaya kusoma hadi level ya juu zaidi ili utoke huku wao wakitengeza pesa kupitia institutions zao, nikiuliza ni Professor gani hata mwenye chuo hakuna, wamiliki wote wa education institutions ni wafanyabiashara
Sasa basi kama wewe ni mzazi au Mwanafunzi unapenda ujasiriamali huhitaji hata Degree ili utoke what you need is Experience, Respect, Confidence and a coacher to tell you the business ways. Because most successful people in the world mfano Bill Gates, Mark Zuckerberg, Warren Buffett, Roman Abramovich, Bharesah (Azam) they did it without even a single degree. So you can make it big aswell dont get twisted utake kusoma hadi maPHD kwa kufata mkumbo tu, Make it your own way. Just be POSITIVE
Kama kuna mtu ana mawazo tofauti unakaribishwa!