There is oil in Tanzania

People Republic of kenya vs Central Republic of Kenya
 
Kama sikosei kilichoonekana ni dalili za uwepo wa mafuta na siyo ugunduzi wa mafuta. Ni habari njema lakini ni mapema mno kuanza kuongelea uwepo mafuta kwa sasa. Utafiti zaidi unatakiwa kuthibitisha kama kweli yapo.
 
Nigeria imetoa mafuta mengi kuliko Norway. Ila kaangalie jinsi wengi walivyopigika
hakuna nchi ya kiafrika yenye mafuta ambayo wananchi wake wamebadirika kama Norway! Norway iko kama mnavyoiona kwa sababu ya kugundua mafuta
 
Hahaha sasa Tanzania tunaenda kuwa paradise

Wakenya wanapata brain damages wasomapo hii Habari View attachment 602740
Mna almas, dhahabu, tanzanite ambayo inapatikana Tanzania pekee, makaa ya mawe, uranium, gesi asiliana madini aina nyine nyingi, mito na maziwa ya kutosha, ukanda mkubwa wa bahari, mbuga kubwa za wanyama zenye wanya wengi sana. JE ZIMEWASAIDIA NINI COMPARE NA KENYA?
 
Sababu nyie ni waafrika na walioshindwa ni miafrika kama sisi sote.Je wewe una ngozi kama ya wenyeji wenye raslimali UAE ,Qatar ,Brunei ,Kuwait ama Norway?
Mpigane na njaa kwanza huko Kenya. Kama Mkenya ni aibu kufa na njaa kila mwaka.
 
Mpigane na njaa kwanza huko Kenya. Kama Mkenya ni aibu kufa na njaa kila mwaka.
😀
 
Ile largest Titanium reserve in the World plus Tsavorite imewasaidiaje? 3-5% of our GDP comes from minerals n we r about to make it 10%! Nyie Wakenya ni wajinga sana ni unafiki na husda inawasumbua..
 
Hadi sasa ni 4% tu ya dhahabu iliyochimbwa, 96% bado ipo ardhini, ukiondoa Tanzanite na almasi, hakuna madini mengine yaliyochimbwa, makaa ya mawe ndiyo tumeanza kuyachimba, sasa hivi ndiyo tunataka kuanza kuchimba madini yetu, karibuni sana majirani tusaidiane kuvuna utajiri huu tuliopewa na Mungu
 
Bado hatuko tayari kwa kuanza huu uchimbaji, ukizingatia wataalam tulio nao niwachache sana na asilimia kubwa hawana uzoefu katika kazi zima ya uchimbaji. Labda kungekua na mpango kabambe wa kuwezesha vijana wetu wanao maliza masomo kuchukua uzoefu kwa nchi zilizo na nguvu kakika industry kwa mfano Norway,
 
This country is still virgin, kwani nyie mpo wapi mnakufa na njaa kama wanyama mbuguni hamna mlichotupita hata an inch.

Naomba unipe eneo lolote ambapo Kenya imeipita Tanzania achilia mbali crocked cooked data
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…