The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Nimeishaipata bado kuiweka tu ila ankal tujiandae maana wasije wakatutoa macho lolFanya fasta ankal maana huyu Asha D kaja na spidi ya ajabu sana, anatishia usalama wa jinsia iliopewa utume kwenye bibilia na koran.
Saa zingine unakuwa Summer then winter then spring then autumn.aaaaa jamani.... am i so predictable?? :rant:
http://groups.yahoo.com/group/fun_and_fun_only
:gossip: The ASIAN :gossip:
Has one Wife
Has one girlfriend
But he loves his wife the most.
The AMERICAN
Has one wife
Has one girlfriend
But he loves his girlfriend the most.
THE ARAB
Has 4 Wives
Has 4 Girlfriends
But he loves his housemaid the most.
Most Importantly there is an AFRICAN who is either
of the above !
una sound kama unafanya apeal flani hivi.
nikilinganisha hii thread na ile ya kua wanume wapo
ndani ya wanawake na wanaume ndo source ya matatizo ya wanawake
napata jibu hilo.
me ningekushauri upambane na tatizo linalokukabili na sio kufanya apeals.
kama huna njia tatuzi omba msaada wana JF ni wajuzi wa manbo tafauti wanaweza kukusaidia sana.

Hata tatizo ila anataka kuligeuza hili jukwaa liwe la mizaha na matani
There is nothing serious in her threads other than jokings . . . .
Who is this now????
Has one wife, one girlfriend, and two housemaids
but he loves most his neighbor's wife . . .
Nakulaza stoo leo.
Fricans we love other people's wives most....
Lol
Yanakosekanaje hayo? ila ndio hivyo tena vya haramu huwa vinanoga sana atiHivi huko nafumanizi hayapo?