The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Nimeishaipata bado kuiweka tu ila ankal tujiandae maana wasije wakatutoa macho lolFanya fasta ankal maana huyu Asha D kaja na spidi ya ajabu sana, anatishia usalama wa jinsia iliopewa utume kwenye bibilia na koran.