"there is only four kinds of men"

"there is only four kinds of men"

Ankal umenikumbusha ngoja niitafute kwenye folder zangu
Fanya fasta ankal maana huyu Asha D kaja na spidi ya ajabu sana, anatishia usalama wa jinsia iliopewa utume kwenye bibilia na koran.
 
Fanya fasta ankal maana huyu Asha D kaja na spidi ya ajabu sana, anatishia usalama wa jinsia iliopewa utume kwenye bibilia na koran.

nimezungumza nae kasema ndo kwanza yuko kwenye stage ya HIGHLIGHTS, movie yenyewe bado kabisa!!:alien::hat:
 
Ubarikiwe kwa kusema ukweli!manake unakuta mtu analalamika kutendwa na mumewe na kuna msururu wa wanaume udenda unawatoka,lol!

ndio ukweli lakini hukuti watu wakizungumza hadharani
 
Who is this now????

Has one wife, one girlfriend, and two housemaids
but he loves most his neighbor's wife
. . .
 
Back
Top Bottom