Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,728
kuna tetesi kuwa kampuni inayozalisha hivyo vinywaji imefirisika.sijajua kama ni za kweli
Coke wana bureaucracy /ukiritimba sana kwenye ku make strategic decisions. Pepsi hawako hivyo.
Ndio kinawagharimu
Kumbuka hata HSC waliinvest sana kwenye matangazo ya biashara kiasi cha kuwa wadhamini wa maonyesho ya sabasaba, yaani DITF. Lakini baada ya muda mfupi tu 'wakafilisika'.Sio rahisi wakafilisika. Juzi juzi tu wame invest mabilioni ya pesa kufunga mtambo mpya yani wamefanya expansion. Kama wangekuwa vibaya wasinge invest...