Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,728
Wadau! Inaonekana kushuka kwa bei ya soda kume kuwa na impact kubwa sana kwenye soko! Sasa hivi ukienda sehemu nyingi kuna onekana kuwa na uhaba wa soda, hasa za pepsi. Nadhani hii itakuwa fursa nzuri kwao kudouble output kwa vile ni zaidi ya mwaka sasa tangu Pepsi wafunge mtambo mpya. Coke nao pia walifunga mtambo mpya kuongeza uzalishaji nadhani mwaka sasa umepita. Ni nafsi nzuri kwa wazalishaji hawa kutumia muitikio wa soko kwa kuongeza uzalishaji wa bidhaa zao.