THESE ARE SEVEN MIRACLES THAT EVERY ATHEIST BELIEVES IN

Gol D Roger

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2023
Posts
2,316
Reaction score
6,082
1. LIFE COMES FROM NON-LIFE.

2. ORDER COMES FROM CHAOS.

3. EXISTENCE COMES FROM NON-EXISTENCE.

4. THE PERSONAL COMES FROM THE NON-PERSONAL.

5. REASON COMES FROM NON-REASON.

6. MORALITY COMES FROM MATTER.

7. TIME AND CHANCE DRIVE EVOLUTION FOWARD.

Wanao amini katika mungu na wasio amini katika mungu wote wana imani kubwa sana.
Kuamini katika mungu inahitaji uwe na imani ya ajabu ambayo hai make sense, pia vilevile kuto amini katika mungu inahitaji imani kubwa sana ambayo ukifikiria it also doesnt make sense, mfano kuamini kwamba Life comes non-life sio jambo rahic kuamini kwa sababu tokea binadamu tuanze kujitambua na kuchunguza mazingira yetu, hatujawahi kuona life coming non-life, all life we observed comes from pre-existing life.

What im trying to say is, Believing or not believing in a creator, both takes a huge leap of faith.
 
This logical fallacy is called non sequitur.

Atheism is not accepting the existence of God.

Anything else is extra.
 
Some atheists might disagree, maybe you don't know the full length of atheism.
 
I am talking abstract, the idea, the definition.

You are talking people, variants, non defining characters of individual atheists that may not have anything to do with atheism.

You can have an atheist who is a member of NCCR-Mageuzi, that does not mean being a member of NCCR-Mageuzi makes one an atheist.

You are making a logical non sequitur fallacy.
 
Call it whatever you like, the important thing is that you got my point.

Believing in either requires a person to take a crazy leap of faith.
 
No I don't, Please educate me
Kitu cha kwanza kabisa, atheism ni kukataa uwepo wa Mungu.

Kingine chochote zaidi ya hapo ni kitu cha nyongeza zaidi ya atheism.

Yani ukiwa atheist halafu pia ni mshabiki wa Simba, ushabiki wako wa Simba hautakiwi kuhusishwa na atheism.

Mtu akisema "huyu ni atheist, pia ni mshabiki wa Simba, hivyo washabiki wa Simba ni atheists", atakuwa anakosea.

Kwa sababu kuna washabiki wa Simba wasio atheists, na pia kuna atheists wasio washabiki wa Simba.

Kauli yako ya kuunganisha atheism na ushabiki wa Simba ni logical fallacy, inaitwa logical non sequitur.

Atheism = kutokubali kuwapo Mungu.

Mambo mengine yoyote, yakiwamo hayo yote uliyoyataja, ni ya ziada na nje ya atheism.

Tumeelewana hapo?
 
Mimi ninachoona baada ya maelezo yako ni kwamba wewe umenielewa vibaya au tuseme you jumped to conclusions.

Kitendo cha kuandika "Atheists" sijamaanisha Atheists wote duniani, wewe ume assume kana kwamba nimewa tag Atheists wote.

Nikuulize swali, mtu anaposema watanzania ni masikini, ana maanisha watanzania wote ni masikini??

Atheists wengi(sio wote, maana una generalise sana mambo) wana base arguments zao in science, na kama umesoma thread vizur most of my arguments are science based.
Stephen hawking hakuwa atheist?? What were his arguments?

Najua kwamba kila atheist ana mitazamo yake tofauti na kwann haamini katika mambo ya mungu, sawa hilo nakubali lakini arguments zangu zinamgusa kila atheist whether he believed in science or doesn't
 
Kwanini mnakataa kuhusu uwepo wa Mungu?
 
Kama hayo mambo ya ngonyeza yana muunganiko na huo uatheism wake basi hakuna budi kuhusianishwa kwa hayo mambo na uatheism wake.
Yani ukiwa atheist halafu pia ni mshabiki wa Simba, ushabiki wako wa Simba hautakiwi kuhusishwa na atheism.
Kama ushabiki wa simba utakuwa una muunganiko fulani na uatheism hakuna budi kuutumia ushabiki wa simba kama ni hoja ya kuthibitisha jambo tunalolitaka dhidi ya atheism.

Kwa sababu atheism haamini uwepo wa Mungu hivyo hata katika kufanya mjadala naye hauwezi ukatumia bibilia ama qurani kama hoja kwake kwani alihazikataa.

Badala yake unatumia mambo ya kawaida ambayo hata yeye huyakubali na huyafanya katika maisha ya kawaida ili huwenda yatamuingia akilini.

SAsa katika hayo mambo ya kawaida ambayo yanaweza kutumika basi na hilo la ushabiki wa simba kama mjenga hoja ataona linafaa anaweza kulitumia kama hoja kwa atheism ili athibitishe kitu fulani kwake.

kukataa jambo hilo maana yake unaufunga mlango wa kujenga hoja dhidi ya atheism kwamba hoja iwe uchi,hoja isiwe nzito,hoja iwe tuputupu haijaungana na usaidizi wowote wenye nguvu,na huo hautakuwa mjadala wa kujenga na kumsaidia atheist.
 
Mimi ninachoona baada ya maelezo yako ni kwamba wewe umenielewa vibaya au tuseme you jumped to conclusions.

Kitendo cha kuandika "Atheists" sijamaanisha Atheists wote duniani, wewe ume assume kana kwamba nimewa tag Atheists wote.

Nikuulize swali, mtu anaposema watanzania ni masikini, ana maanisha watanzania wote ni masikini??

Atheists wengi(sio wote, maana una generalise sana mambo) wana base arguments zao in science, na kama umesoma thread vizur most of my arguments are science based.
Stephen hawking hakuwa atheist?? What were his arguments?

Najua kwamba kila atheist ana mitazamo yake tofauti na kwann haamini katika mambo ya mungu, sawa hilo nakubali lakini arguments zangu zinamgusa kila atheist whether he believed in science or doesn't

Heading ya thread inasema "THESE ARE SEVEN MIRACLES THAT EVERY ATHEIST BELIEVES IN"

Halafu unaandika "sijamaanisha Atheists wote duniani".

Hivi hata wewe mwenyewe unaelewa unataka kusema nini?

Unataka kusema "every atheist" au "sijamaanisha atheists wote" ?

You are contradicting yourself.
 
Kwanini mnakataa kuhusu uwepo wa Mungu?

Kwa sababu ni ukweli Mungu hayupo.

Kwa sababu, ukweli ni kwamba, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kuumba ulimwengu unaoweza kuwa na mabaya, ni contradiction.

Contradiction hii inatupa tatizo moja, Mungu huyo na dunia hiyo haviwezi vyote kuwapo, viwili hivi vina kitu kinaitwa "mutual exclusivity".

Maana yake, ama Mungu huyo yupo na ulimwengu unaoruhusu mabaya haupo.

Ama, ulimwengu unaoruhusu mabaya upo, na Mungu huyo hayupo.

Tunaona ulimwengu unaoruhusu mabaya upo.

Hivyo, Mungu huyo hayupo.

Ukibisha, thibitisha Mungu huyo yupo, halafu ondoa contradiction ya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kutokea.
 
1. LIFE COMES FROM NON-LIFE.

2. ORDER COMES FROM CHAOS.

3. EXISTENCE COMES FROM NON-EXISTENCE.

4. THE PERSONAL COMES FROM THE NON-PERSONAL.

5. REASON COMES FROM NON-REASON.

6. MORALITY COMES FROM MATTER.

7. TIME AND CHANCE DRIVE EVOLUTION FOWARD.

.
Those are not miracles, they are just a series of mental blunders.
 
Kwanini mnakataa kuhusu uwepo wa Mungu?
Kwa nini unalazimisha uwepo wa Mungu?

Huyo Mungu kama yupo ajitokeze mwenyewe ajidhihirishe.

Otherwise, Mnahangaika sana na kufosi kumuongelea Mungu ambaye hayupo na hajawahi kuwepo kujiongelea mwenyewe.
 
Heading ya thread inasema "THESE ARE SEVEN MIRACLES THAT EVERY ATHEIST BELIEVES IN"

Halafu unaandika "sijamaanisha Atheists wote duniani".

Hivi hata wewe mwenyewe unaelewa unataka kusema nini?

Unataka kusema "every atheist" au "sijamaanisha atheists wote" ?

You are contradicting yourself.
Ndo maana nikakuuliza swali, mtu akisema watanzania ni masikini, ana maanisha wote?

Tatizo ninaloona kwako, you take things too literally, mbona watu wengine wamenielewa vizur tuu

Alaf kinachonishangaza unang'ang'ania point hiohio tuu, kuna mambo mengi sana ya kuzungumza kuhusu topic on the table, what's wrong with you??
 
Hakuna Atheist anayedai maisha yametokana pasipo na chochote.

Hakuna Atheist anayedai ulimwengu umekuja tu wenyewe bila chochote.

Atheist ni watu wasio amini Mungu/Shaetani na mjumuiko wote wa supernatural beliefs.

Ulichoandika wewe katika kundi la uongo kwenye logic kinaitwa "Straw Man Argument"

Ni kitendo cha kupandikiza maneno mdomoni mwa mtu kisha unaanza kum attack kwa kumshtumu kuwa hayo maneno uliyomuwekea mdomoni kayatamka yeye kwa kinywa chake.
 
Kwa sababu ni ukweli Mungu hayupo.

Kwa sababu, ukweli ni kwamba, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kuumba ulimwengu unaoweza kuwa na mabaya, ni contradiction.

Contradiction hii inatupa tatizo moja, Mungu huyo na dunia hiyo haviwezi vyote kuwapo, viwili hivi vina kitu kinaitwa "mutual exclusivity".

Maana yake, ama Mungu huyo yupo na ulimwengu unaoruhusu mabaya haupo.

Ama, ulimwengu unaoruhusu mabaya upo, na Mungu huyo hayupo.

Tunaona ulimwengu unaoruhusu mabaya upo.

Hivyo, Mungu huyo hayupo.

Ukibisha, thibitisha Mungu huyo yupo, halafu ondoa contradiction ya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kutokea.
That's where you're wrong my friends, why are you limiting god??

Mungu kuwa mjuzi wa yote na muweza wa yote, doesn't mean that there shouldn't be evil in the world.

Mungu kujua kwamba wewe utatenda dhambi doesn't mean that he has to act on you or do something about it before you sin or do something bad.
Ulitaka mungu afanyaje?? Akuzuie usitende dhambi??

GOD IS NOT A SCRIPT WRITTER.
You have to understand this.
 
Back
Top Bottom