Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
- Thread starter
-
- #21
Hakuna ukweli wowote ulioongea hapo.Hakuna Atheist anayedai maisha yametokana pasipo na chochote.
Hakuna Atheist anayedai ulimwengu umekuja tu wenyewe bila chochote.
Atheist ni watu wasio amini Mungu/Shaetani na mjumuiko wote wa supernatural beliefs.
Ulichoandika wewe katika kundi la uongo kwenye logic kinaitwa "Straw Man Argument"
Ni kitendo cha kupandikiza maneno mdomoni mwa mtu kisha unaanza kum attack kwa kumshtumu kuwa hayo maneno uliyomuwekea mdomoni kayatamka yeye kwa kinywa chake.
Unataka kusema kwamba Mungu anajua iwapo baada ya masaa kadhaa nitatenda dhambi??That's where you're wrong my friends, why are you limiting god??
Mungu kuwa mjuzi wa yote na muweza wa yote, doesn't mean that there shouldn't be evil in the world.
Mungu kujua kwamba wewe utatenda dhambi doesn't mean that he has to act on you or do something about it before you sin or do something bad.
Ulitaka mungu afanyaje?? Akuzuie usitende dhambi??
GOD IS NOT A SCRIPT WRITTER.
You have to understand this.
Ndio, moja ya sifa ya mungu is that he is all-knowing, that means he knows the future tuu.Unataka kusema kwamba Mungu anajua iwapo baada ya masaa kadhaa nitatenda dhambi??
Kwa hiyo wewe huelewi kuwa neno "every" maana yake ni wote?Ndo maana nikakuuliza swali, mtu akisema watanzania ni masikini, ana maanisha wote?
Tatizo ninaloona kwako, you take things too literally, mbona watu wengine wamenielewa vizur tuu
Alaf kinachonishangaza unang'ang'ania point hiohio tuu, kuna mambo mengi sana ya kuzungumza kuhusu topic on the table, what's wrong with you??
Kwani wapi ninesemq Mungu kuwa mjuzi wa yote na muweza yote maana yake there shouldn't be evil in the world?That's where you're wrong my friends, why are you limiting god??
Mungu kuwa mjuzi wa yote na muweza wa yote, doesn't mean that there shouldn't be evil in the world.
Mungu kujua kwamba wewe utatenda dhambi doesn't mean that he has to act on you or do something about it before you sin or do something bad.
Ulitaka mungu afanyaje?? Akuzuie usitende dhambi??
GOD IS NOT A SCRIPT WRITTER.
You have to understand this.
Unajua Mungu muumbaji kujua future yote maana yake viumbe havina uwezo wa kuishi future tofauti na ile aliyoiona?Ndio, moja ya sifa ya mungu is that he is all-knowing, that means he knows the future tuu.
Kama mungu hajui ya mbeleni(future) that's not a god.
Haya ngoja niwaambie mods wabadilishe hio "every"Kwa hiyo wewe huelewi kuwa neno "every" maana yake ni wote?
Kiranga you're contradicting yourself my brother.Kwani wapi ninesemq Mungu kuwa mjuzi wa yote na muweza yote maana yake there shouldn't be evil in the world?
Hata huelewi argument ninayoitoa.
That's your own categorisation and IT IS FLAWED.Maana yake, ama Mungu huyo yupo na ulimwengu unaoruhusu mabaya haupo.
Ama, ulimwengu unaoruhusu mabaya upo, na Mungu huyo hayupo.
Tunaona ulimwengu unaoruhusu mabaya upo.
Hivyo, Mungu huyo hayupo.
Ukibisha, thibitisha Mungu huyo yupo, halafu ondoa contradiction ya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kutokea.
Nope, ndo maana nakwambia tena you don't understand god and God's philosophy.Unajua Mungu muumbaji kujua future yote maana yake viumbe havina uwezo wa kuishi future tofauti na ile aliyoiona?
Kimantiki, Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, kuumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na mabaya, ni contradiction.Kiranga you're contradicting yourself my brother.
Let me quote you "Kwa sababu, ukweli ni kwamba, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kuumba ulimwengu unaoweza kuwa na mabaya, ni contradiction. Contradiction hii inatupa tatizo moja, Mungu huyo na dunia hiyo haviwezi vyote kuwapo, viwili hivi vina kitu kinaitwa mutual exclusivity"
Siwez kujibu kitu bila kukielewa kwanza, wewe ndo huelewi ulichoandika, I can also strongly suggest that you don't understand God's philosophy.
God is not nice, God is Good, he does things for the greatest good, people thinking god is nice is one of the biggest misunderstanding about god, god is far from nice, he is Good, na ndo maana unaona hata kweny biblia kuna muda ana amuru watu wauliwe, that's not something a typical nice person does right?
That's your own categorisation and IT IS FLAWED.
Ndo maana mwanzoni nikakuuliza swali la maana sana;
why are you limiting god??
why are you putting restrictions in his own creation??
Why are suggesting how things should be??
Kama mungu kaamua kuumba ulimwengu ambao uovu unawezekana it's because kaamua kufanya hivo, if you don't want that answer it's your choice, goodluck finding another answer, mungu angetaka ulimwengu ambao uovu hauwezi kutokea bac angetuumba kama maroboti, angetuumba binadamu maroboti tusiokuwa na uwezo wa kufikiria, tusiokuwa na uwezo wa kufanya maamuzi, tusiokuwa na uwezo wa kufanya tulipendalo, angeweza kuumba binadamu ambaye hajui lolote zaidi ya kuanguka kifudifudi na kusujudu.
But would that be love? Would that be love?
Ushawahi kusikia ule msemo unasema "If you truly love something, set it free, if doesn't come back it didn't love you, if it comes back, it won't leave you forever"
So, there is no love if you don't give someone a free-choice
There's evil in this world because god gave us a free mind and a choice.
Nope, ndo maana nakwambia tena you don't understand god and God's philosophy.
Ingekuwa future anayoina mungu haiwez kubadilika, angekuwa kila siku anatusihi tubadilishe mienendo yetu tuache dhambi?? Just think about it.
When God sees you're doing something wrong, he knows the outcome is not good, he knows your path will lead to something bad, so he insists that you change your behaviour, which will also change the outcome, how is that complicated??
I think god allowing the possibility of evil in the world is actually a good thing.Kimantiki, Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, kuumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na mabaya, ni contradiction.
Kwa sababu upendo wake wote unq conyradict yeye kuumba ulimwengu unaoweza kuwa na mabaya.
Uwezo wake wote unampa uwezo wa kuumba ulimwengu usioweza kuwa na mabaya.
Ujuzi wake wote unampa ujuzi wa kujua kuumba ulimwengu usioweza kuwa na mabaya.
Sasa kwa nini aumbe ulimwengu unaoweza kuwa na mabaya?
There is no logical explanation. There is a contradiction.
Why?
Because that God does not exist in reality.
He is a character out of a man made story.
Yes, and the answer is A.Kimantiki. Kidhahania.
Ama
A.
Mungu anajua kama nitafanya dhambi fulani kesho na mimi siwezi kuepuka kuifanya.
Au.
B.
Mimi ninaweza kubadili kufanya ninachotaka kesho ninavyotaka na Mungu leo hajui nitafanya nini.
A na B vyote haviwezi kuwa kweli pamoja.
In set tgeory and logic this is known as "mutually exclusive".
Either A or B, but never A and B together.
Unaelewa hilo?
But the world does not allow evil and remain good.I think god allowing the possibility of evil in the world is actually a good thing.
A world where there is a possibility of evil but remains good is a better world than a world without the possibility of evil.
Maybe a man is better when he is dangerous, who is being Good, than he would be if he was just a good man, who wasn't capable of being dangerous.
Kiranga Who is a better wife?
A wife than can leave you but chose to stay with you OR a wife that has no choice of leaving??
It's not messed up, it is made up.Yes, and the answer is A.
God knows what you will do tomorrow, and he knows you're going to do it regardless of his intervention, BUT GOD WILL STILL PERSUADE YOU INTO NOT DOING THE THING EVEN IF HE KNOWS YOU WOULDN'T LISTEN.
I know that's messed up, but it's the truth, whether you believe it or not
Sasa kama anajua wewe utakua jambazi, mwizi, mbakaji na hutomtii mpaka unakufa kwanini alikuumba??Ndio, moja ya sifa ya mungu is that he is all-knowing, that means he knows the future tuu.
Kama mungu hajui ya mbeleni(future) that's not a god.
You really have a problem with taking things too literally.But the world does not allow evil and remain good.
The world is ruined by evil.
You have faulty logic there.
Predestination and Free-will both can co-exist.It's not messed up, it is made up.
Because it is not true.
If I have no way if changing what will be, then it is unfair to punish me for what I will do.
Because, I have no way of changing what I will do. Why punish me?
Ulimwengu ambao watu hawawezi kubadikisha maisha yao, hata kabla hawajazaliwa Mungu kashajua maisha yao yote yatakavyokuwa na hao watu hawana njia ya kubadilisha kitu, hauna dhambi wala thawabu.
Watu wanaishi script tu aliyoiandika Mungu.
Sasa kwa nini Mungu anawaadhibu?