These are the questions that watoto wa vigogo are asked kwenye interview za BOT.

These are the questions that watoto wa vigogo are asked kwenye interview za BOT.

Status
Not open for further replies.
Inauma sana wakati katika interview ya cag tuliulizwa maswali magumu kama nn, au sijui kwa sababu waliona watoto wa wachimba chumvi tulikuwa wengi? Ndo maana hata majibu hawataki kutoa. Hii nchi bwana

kaka kwani we umetokea familia zilizowai kutawala namaanisha jina lako mwishoni linaishwa na nini?mfano jairo,luhajo,msekwa kikwete,lowasa,pinda au ndulu.kama una basi we kafundishe tu shule za kata kule wanaangalia surname basi.

Nimefurahia hii joke yako!
Nimecheka sana mpaka mbavu zangu zinauma!
Ungebadilisha title ingekuwa bomba sana

SECTION A

1.Is the African continent a continent or country?if it's continent,what is the name of this continent?(10 marks)

2.who is the president of Tanzania?a)kikwete (b)bush (c)i dont know (5marks)

3.Read below and answer the answer the question:-

juma has three and a half buckets of milk.He gives his good friend john three quarter of it.A third of the remaining half of a quarter he sells at the local market(at a loss no less).He consumes three pints of what is left.The rest he divides equally among his seven children and the cat which gets a third less than what any two of his sons got combined.Now the question is:- Which animal produce cow milk?(5marks)

4.A fish cant ride a bicycle'explain.(5marks)

5.If birds fly,animals run and fish swim,what do birds do?(5marks)

6.form a word with the following letters in this order:-D,O,G(eg M,O,T,H,E,R The answer is MOTHER):................(5marks)

7.fill in the blank provided.2,4,6,8,10,12,14,......,18.(10marks)

8.If you are given a higher rank,is that a demotion or a promotion?(10marks)

9.How do you spell the word hermaphrodite?...............(10marks)

10.If a cow has four legs,how many legs does a baby cow have?(10marks)

11.Juma sells fish at the local market for a certain fixed amount.John also sells fish at the same market for a price exceeding that of Juma.Anna also sells at the same market,she sells her fish at a price at par of Juma and Amina's question which of the three sells fish the most expensive?(10marks)

SECTION B

12.Write an essay on the depression of the social economic lifestyle of this country due to corruption and comment on the rule of law😱r else count the fingers on your both hands and write down the total,is it ten?(10marks)

PRACTICAL(Do not attempt this question)

13.Take your gun from your holster.Take the bullet specimen placed on your desk.load it into your gun.place your finger on the trigger.Turn the gun and stare deep into its muzzle with your left eye.Pull the trigger!what happens?(0marks)

NOTE:To pass this test you must at least write your name on the paper since any one who score less than 5% will not be considered till next recruitments,you should put in your mind that there are only 10 posts and you are one of 10 candidates competing.

=====ALL THE BEST==

wanajamvi tutafakari kwa mtindo huu tutafika kwani maswali haya huwa ni tofauti kati ya watoto wa vigogo na kapuni.nawasilisha.

Dah,ver sad ka ndo inakuwa ivyo mkuu!bt 5marks to make 100 hazipo hapo.

Mkuu umeongelea mambo mazito katika namna ya utani sana, I like this, big up, wenye macho na masikio tusikie na tuone.

Kwani jaman mbona hata watoto wa wakulima wapo?ina maana BOT nzima hakuna watoto wa wakulima!

Juz kati nimepgwa apt test ngumu noma nusu saa maswala 60 yan nlijibu kumi sijuh yale

Daaaah nimecheka mpaka mbavu zikauma,machoz yakanitokaaa.Hata hivyo watoto wa vigogo wanafeli maswali kama hayo maana hawajui ki2 lakin mwisho wa siku wanapata kaz BOT.Nchi imeuzwa

Swali la nyongeza:nani alikuwa raisi wa Kwanza wa Tanzania a)chiluba b)mugabe c) Nyerere JK

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom