They Hold 13yrs Old as Human Shield!

They Hold 13yrs Old as Human Shield!

X-PASTER

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
11,605
Reaction score
1,843
Human Shield.jpg
Israeli Border Police are accused of tying Mohammed Badwan, 13, to a jeep as a human shield.
(G.M. and The Alternative Information Center)​
 
Everybody knows how HAMAS or other terrorist group used people as HUMAN SHIELD, Tatizo ni kwamba watu wengine hawaoni uhalifu huu lakini ukifanywa na mtu mwingine watu wanapiga kelele,itakuwa vizuri kwako kwanza uilaumu HAMAS kwa kuwafanya wapalestina kuwa HUMAN SHIELD pale kwenye shule ya UN huko Gaza hivyo kusababisha watu wengi kuuawa ili tu Hamas ipate sababu ya kulalamikia Israel lakini chano ni HAMAS kuwafanya wapalestina HumanSHILED.
HAMAS waliuahidi ulimwegu kuwa Israel itakapo peleka infrantry au askari wa miguu kule Gaza basi Gaza will be grave yard to them,what is this going on there
ALJAZEERA nayo imeendeleza propaganda za footage za watoto na wanawake waliouawa kama wako fair mbona hawaonyeshi picha za magaidi waliouawa vitani,mbona hawaonyeshi silaha zilizofichwa misikitini??????
ama kweli NYANI HAONI KUNDULE.
 
Hivi hii sentence ilitokea wapi?

RAIA WASIO NA HATIA?

Hivi taifa la Israel linapigana vita na taifa la Palestina au na wanamgambo wapiganaji wa ki-Palestina?

Hivi haya makombora yanayorushwa kutokea Gaza yana uwezo wa kupinga askari wa Israel TU?

Huyu MTOTO amerusha mawe, amekamatwa amefungwa juu ya JEEP ili kuwafanya WATOTO wenzake wasiendelee kurusha MAWE. FULL STOP!
 
Hivi hii sentence ilitokea wapi?

RAIA WASIO NA HATIA?

Hivi taifa la Israel linapigana vita na taifa la Palestina au na wanamgambo wapiganaji wa ki-Palestina?

Hivi haya makombora yanayorushwa kutokea Gaza yana uwezo wa kupinga askari wa Israel TU?

Huyu MTOTO amerusha mawe, amekamatwa amefungwa juu ya JEEP ili kuwafanya WATOTO wenzake wasiendelee kurusha MAWE. FULL STOP!

Kitendo cha kutumia binadamu wa kawaida kama kinga ya kujilinda dhidi ya vita/utupaji wa mawe hakikubaliki iwe kwa Israeli au Hamas. kilichopaswa kufanyika ni wawatafute hao Hamas wenyewe ili wawatumie kama kinga badala ya kuwatafuta watoto/watu wasio wapiganaji.
 
Back
Top Bottom