frustrated women who can not satisfy a man will say all these words. Tunawajua sana msijifanye kusema ati 'nani anataka kuolewa' wakati kila mkiona harusi viroho vinawauma.
frustrated women who can not satisfy a man will say all these words. Tunawajua sana msijifanye kusema ati 'nani anataka kuolewa' wakati kila mkiona harusi viroho vinawauma.
shuhuli tayari imeanza, sibitisha hapa chini. heheheNgoja wenyewe waje humu..shauri lako mi simo! Utajua kwa nini Kikwete anapigiwa kura na watanzania na ufisadi wote anaoufanya!
una uhakika na unachokisema au kwa vile hulipii kodi,kiroho kiniume kisa nini,kwani ntapungukiwa nini au nikishaolewa kinaongezeka nini_
sio vibaya mwanamke asipoolewa lakini ni vizuri zaidi anapokuwa ameolewa.
frustrated women who can not satisfy a man will say all these words. Tunawajua sana msijifanye kusema ati 'nani anataka kuolewa' wakati kila mkiona harusi viroho vinawauma.
inategemea na uamuzi wa mtu alio nao maishani.

Mtashangaa vidume wadada hawana mpango na kuolewa tena,mtabaki ooo wanataka lakini waoaji hakuna hatuna shida na ndoa ndoano zenu
Bado hujapata tu au wanapm unafanya mapitio kwanza,usikate tamaa wako wachache ila ndio wanaishiaishia hivyo.usiseme hivyo bana, mwenzako mi nimepanga huu mwaka hauishi bila mchumba kupatikana. Hauoni unanikatisha tamaa kabisa?
mkuu hawa dada zetu nao wamezidi......ukisema kitu chochote kuhusu wao hata kama sio against wao, wanakuja juu kama moto wa crude oil!Ha ha umelianzisha mkuu. Mie ngoja niangalie kwa mbaaali huu mjadala. Natumai dada zetu wata kujibu kwa staha na ustarabu.
Bado hujapata tu au wanapm unafanya mapitio kwanza,usikate tamaa wako wachache ila ndio wanaishiaishia hivyo.
oooh! SO SAD......
hamna bana hata hawaniPM sijui nipunguze vigezo. Nataka nibadishe kidogo niandike umri kuanzia 18 - 60 na mwenye watoto kuanzia 0-6 labda nitaweza kubahatisha mjane LOL...