They want me to marry, but where are the men?

Spear

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2008
Posts
507
Reaction score
29
<form id="emailForm_recommend" method="post" action="/page/recommend/DailyNation/Features/DN2/They%20want%20me%20to%20marry%20but%20where%20are%20the%20men%20/-/957860/1090760/-/view/emailForm/-/n0j2otz/-/index.html"><table width="240" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td> Isiwe shida
</td> </tr> <tr> <td>
ctc_04_img1072.jpg

</td> </tr> <tr> <td>
</td></tr><tr><td align="right">
</td> <td>
</td></tr> </tbody></table> </form>
PIX2.jpg
 
Hahahahaa! ameshakugongaeee!! pole sana. ndo maisha........productive, yes what about reproductive?
 
frustrated women who can not satisfy a man will say all these words. Tunawajua sana msijifanye kusema ati 'nani anataka kuolewa' wakati kila mkiona harusi viroho vinawauma.
 
Ngoja wenyewe waje humu..shauri lako mi simo! Utajua kwa nini Kikwete anapigiwa kura na watanzania na ufisadi wote anaoufanya!
 
una uhakika na unachokisema au unalipuka kama Makamba,kiroho kiniume kisa nini,kwani ntapungukiwa nini au nikishaolewa kinaongezeka nini?
 
Ngoja wenyewe waje humu..shauri lako mi simo! Utajua kwa nini Kikwete anapigiwa kura na watanzania na ufisadi wote anaoufanya!
shuhuli tayari imeanza, sibitisha hapa chini. hehehe

una uhakika na unachokisema au kwa vile hulipii kodi,kiroho kiniume kisa nini,kwani ntapungukiwa nini au nikishaolewa kinaongezeka nini_
 
sio vibaya mwanamke asipoolewa lakini ni vizuri zaidi anapokuwa ameolewa.
 
frustrated women who can not satisfy a man will say all these words. Tunawajua sana msijifanye kusema ati 'nani anataka kuolewa' wakati kila mkiona harusi viroho vinawauma.

are you sure????
 
Mtashangaa vidume wadada hawana mpango na kuolewa tena,mtabaki ooo wanataka lakini waoaji hakuna hatuna shida na ndoa ndoano zenu
 
Ha ha umelianzisha mkuu. Mie ngoja niangalie kwa mbaaali huu mjadala. Natumai dada zetu wata kujibu kwa staha na ustarabu.
 
usiseme hivyo bana, mwenzako mi nimepanga huu mwaka hauishi bila mchumba kupatikana. Hauoni unanikatisha tamaa kabisa?
 
Bado hujapata tu au wanapm unafanya mapitio kwanza,usikate tamaa wako wachache ila ndio wanaishiaishia hivyo.
 
Ha ha umelianzisha mkuu. Mie ngoja niangalie kwa mbaaali huu mjadala. Natumai dada zetu wata kujibu kwa staha na ustarabu.
mkuu hawa dada zetu nao wamezidi......ukisema kitu chochote kuhusu wao hata kama sio against wao, wanakuja juu kama moto wa crude oil!
Na wana kashfa hawa!!! utasikia oooh kibamia, ooh, mwanaume sarawili, ooh halipi bills, oooh ana nanihii inatoboa kama mshale...kwani aliniona mi swala.....sasa hivi wameanza na eti wanaume hawajui vesi......hahahaha! wataanza kututongoza....hii ni kashfa bana.
 
Bado hujapata tu au wanapm unafanya mapitio kwanza,usikate tamaa wako wachache ila ndio wanaishiaishia hivyo.

oooh! SO SAD......

hamna bana hata hawaniPM sijui nipunguze vigezo. Nataka nibadishe kidogo niandike umri kuanzia 18 - 60 na mwenye watoto kuanzia 0-6 labda nitaweza kubahatisha mjane LOL...
 
kwa hapo unaweza pata ukasaidie kulea watoto,hata mimi nikiwa na miaka 55 ntaanza kufikiria kuolewa tehe tehe tehe.
 
Back
Top Bottom