Yani wanachosha...eti wanaosema hawataki ni wa 'sizitaki mbichi hizi'!Kwa mawazo yao kila anaekataa hajapata anaonyesha nia kwake![/COLOR]
Kweli kabisa Lizzy wangu........ watu wasitake ku-generalize mambo hapa......😛lane:
There is no such thing as "Every woman wants this..or that!Every man is like this or that!"...Mimi na wewe hatuna matamanio wala malengo yanayofanana maishani kwahiyo experience unayotamani wewe is not necessarily what I would want aswell!but it is something that every woman wishes to experience bwana.... mi hii naiita sizitaki mbichi hizi
Wadada ambao hawataki kuolewa ni WASAGAJI!
Yani wanachosha...eti wanaosema hawataki ni wa 'sizitaki mbichi hizi'!Kwa mawazo yao kila anaekataa hajapata anaonyesha nia kwake!
Wadada ambao hawataki kuolewa ni WASAGAJI!
Heeee!!! simo!!Michelle...Unajua nini..wanataka na sisi tupate mastress kama wanayopata wao!Kama nikuolewa mtu anaweza akabadili mawazo atakapoona anataka na anajiskia kufanya hivyo sio kwa sifa..kwakutafuta heshima..na satisfaction zisizo exist mwisho mnapeana migongo..mnanuniana daily na kulala na wadada na wakaka wa kazi!
Naomba umuulize huyo kijana sijui bibi.........wanaume ambao hawataki kuona wao Ni WAKOBOAJI au?Makubwa haya, naona una PHD ya generalisation.......ndo walivyoamua,kuna tatizo?kama wanafurahia shida iko wapi??
Michelle...Unajua nini..wanataka na sisi tupate mastress kama wanayopata wao!Kama nikuolewa mtu anaweza akabadili mawazo atakapoona anataka na anajiskia kufanya hivyo sio kwa sifa..kwakutafuta heshima..na satisfaction zisizo exist mwisho mnapeana migongo..mnanuniana daily na kulala na wadada na wakaka wa kazi!
Naomba umuulize huyo kijana sijui bibi.........wanaume ambao hawataki kuona wao Ni WAKOBOAJI au?
naona tunazalilishana humu sasa.
<form id="emailForm_recommend" method="post" action="/page/recommend/DailyNation/Features/DN2/They%20want%20me%20to%20marry%20but%20where%20are%20the%20men%20/-/957860/1090760/-/view/emailForm/-/n0j2otz/-/index.html"><table width="240" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td> </tr> <tr> <td>
</td></tr><tr><td align="right">
</td> <td>
</td></tr> </tbody></table> </form>
Feeling pressured into sex is not be the answer for you. The moment you step out could be the beginning of a totally different journey you would wish you never embarked on. Please do not forget that marriage is not everything. You can still live a fulfilled life, be productive and exploit your potential to the maximum as a single.
Umepatia kuliko hata mwalimu hivyo nakupa 105/100!Heeee!!! simo!!
Nalifanyia kazi hili....yani antidote ya kupeana migongo ni go that room........h/gal's room for service., and this way........get out to servant quarter's room from service
sio vibaya mwanamke asipoolewa lakini ni vizuri zaidi anapokuwa ameolewa.
Ndo heshima zenyewe ati......yaani mimi ntazidi kujipenda,kujithamini hayo mengine ni ziada,the ultimate goal of anything is HAPPINESS as long as am happy,hakuna wa kuniambia kitu......:smile-big::smile-big:
Hahahahaa! ameshakugongaeee!! pole sana. ndo maisha........productive, yes what about reproductive?
Naona umeconclude kuwa wanaolewa wanaolewa kutimiza wajibu. Si wote roho zinauma ukiona harusi kuna wengine wetu tunawaombea heri na kujua kwamba safari imeanza ambayo inahitaji uvumilivu na busara. 'We have been there done that 'frustrated women who can not satisfy a man will say all these words. Tunawajua sana msijifanye kusema ati 'nani anataka kuolewa' wakati kila mkiona harusi viroho vinawauma.
Kuna watu bwana wameamua waishi maisha yao wenyewe na wanayapenda and they are having fun!! we kaa ukimuonea mwenzio huruma au kumuangalia kwa jicho la pembeni hajaolewa kumbe wa kuonea huruma ni wewe,full time ma-stress ukitafuta heshima......
Umekakamaa uso,mihasira 24/7,nawe una bahati??unapata sex anytime you want,he he hewapo wengine hiyo sex anaipata baada ya mwezi,mumewe yuko busy na nyimba ndogo amabzo ni fashion TZ,nawe una mume...........ndo mbivu zenyewe,aku bibi sizitaki!!!
Personally ni wanawake 2/10 wananiambia nenda kwenye ndoa,wengi wanasema ni mateso matupu,take your time......
Rafiki zangu 0/10 ananishauri olewa,kila mmoja anasema,ningejua......isingekuwa hivi????[/QUOTE]
Wewe msimamo wako ni nini? Maana akili za kuambiwa changanya na za kwako "JK 2010"
Naona umeconclude kuwa wanaolewa wanaolewa kutimiza wajibu. Si wote roho zinauma ukiona harusi kuna wengine wetu tunawaombea heri na kujua kwamba safari imeanza ambayo inahitaji uvumilivu na busara. 'We have been there done that '